Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Mwenyewe naisikia tuBlue order ndo nini??
Biashara zao zinaendaje mkuu. Maana huku bila wataalam mambo hayaendi.Kule wengi hawaamini uchawi hivyo hata kupata story za kurogana inakuwa ngumu kwa sababu si kitu kinachoaminika sana kwenye jamii hivyo hata jambo likiwa la kishirikina wao watalitazama kwa mtazamo tofauti na ushirikina.
Kwa maana ipi unavyosema huku bila wataalamu mambo hayaendi? Kwa maana ya kulinda biashara kwamba mtu asiwangie biashara yako au kwamba ili biashara iwe nzuri lazima uwende kwa wataalamu?Biashara zao zinaendaje mkuu. Maana huku bila wataalam mambo hayaendi.
Mkuu, sema wewe biashara zako bill wataalamu hawaendi. Huoni research za marketing za sales. Nanma ya kuvita wateja, wafanyaje wateja warudi. Ubora wa huduma za wateja na ubora wa bidhaa.Biashara zao zinaendaje mkuu. Maana huku bila wataalam mambo hayaendi.
Hivi vijiuchawi vyenu wazungu walikwisha vipitia miaka ya 1250 walishajua kuhusu miti na nguvu zake sympathea mage na vyote miaka ya 1500 wakaanza kuhifadhi taarifa muhimu juu ya uchawi mwaka 1700 wakaanza kuupiga marufuku imani hizi infact...
Wazungu wanaongoza kwa uchawi na wana majini makali sana.Kina kisiwa kipo karibu na marekeni ni wachawi balaaa
Huu ujinga peleka darasani. Mtaani Hali ni tofautiMkuu, sema wewe biashara zako bill wataalamu hawaendi...huoni research za marketing za sales. Nanma ya kuvita wateja, wafanyaje wateja warudi. Ubora wa huduma za wateja na ubora wa bidhaa...
London kuna sehemu moja Inaitwa camdenWazungu wanaongoza kwa uchawi na wana majini makali sana.
Kina kisiwa kipo karibu na marekeni ni wachawi balaaa
Wazungu wanaongoza kwa uchawi na wana majini makali sana.
AiseeLondon kuna sehemu moja Inaitwa camden
Wazungu wanauza sana uchawi hapo
Sema uchawi wa wenzetu huko siyo wa kuumizana
Ova
Biashara zao ni ubora wa bidhaa na huduma. Tz biashara haziendi kwa kuwa umasikini umezidi, watu hawana pesa za kutumia. Nchi zilizoendelea kuna ajira na kupelekea watu wengi kuwa na uwezo wa kufanya manunuzi, hivyo biashara zinashamiri.Biashara zao zinaendaje mkuu. Maana huku bila wataalam mambo hayaendi.
Huyo bibi still bado anatumia ndumba za kale nijuavyo wazungu huwa na tabia ya kumwita lucifer live na kusolve mambo yao endapo anaona anapata challenge zisizo na sababu yoyote.Wazungu wana wanga sana, nilishuhudia hii nilipopanga kwenye nyumba ya kibibi kimoja cha kizungu wakati nasoma majuu. Kuna supermarket moja kubwa jamaa kama chizi hivi alikuwa anatangatanga nje ya hiyo supermarket na nafikiri wanatumia sana mapaka paka.
Huyo bibi still bado anatumia ndumba za kale nijuavyo wazungu huwa na tabia ya kumwita lucifer live na kusolve mambo yao endapo anaona anapata challenge zisizo na sababu yoyote.Wazungu wana wanga sana, nilishuhudia hii nilipopanga kwenye nyumba ya kibibi kimoja cha kizungu wakati nasoma majuu. Kuna supermarket moja kubwa jamaa kama chizi hivi alikuwa anatangatanga nje ya hiyo supermarket na nafikiri wanatumia sana mapaka paka.
Ndio mkuu, yani cha kwanza ni Guard, biashara isiingilike kwa dumba. Yani kama mtu anataka kukuaribia, ashindwe. Pili mambo na mipango yako inabidi uvipe assurance ya kuprosper.Kwa maana ipi unavyosema huku bila wataalamu mambo hayaendi? Kwa maana ya kulinda biashara kwamba mtu asiwangie biashara yako au kwamba ili biashara iwe nzuri lazima uwende kwa wataalamu?