Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Hapa umeandika kama mtu asiyejua nini mantiki ya uthibitisho maana ungejua kua uthibitisho ndani yake huanza na maelezo ya kuelezea keypoint ya swali "uchawi ni nini" usinge kurupuka kuandiia hayaHapana,huwezi kukurupuka na kuanza kudai uthibitisho wa kitu ambacho hujakielewa lazima kwanza ukifahamu hicho kitu.
Inawezekana hicho kitu unakijua kabisa kuwa kipo huhitaji uthibitisho au hukijui kabisa kinafananaje hivyo huwezi kukimbilia uthibitishiwe hicho kitu hata haukielewi,ndio maana nikakuuliza unaelewa vp uchawi kwanza?
Usitumie assumption kuniweka kwenye mhimili ambao akili yako imeulenga, kusema kwamba inawezekana hicho kitu nakijua hapo ni kulazimisha mtazamo wako uendane na fikra zangu