Wazungu wana uchawi wa "small scale"?

Wazungu wana uchawi wa "small scale"?

Hapana,huwezi kukurupuka na kuanza kudai uthibitisho wa kitu ambacho hujakielewa lazima kwanza ukifahamu hicho kitu.

Inawezekana hicho kitu unakijua kabisa kuwa kipo huhitaji uthibitisho au hukijui kabisa kinafananaje hivyo huwezi kukimbilia uthibitishiwe hicho kitu hata haukielewi,ndio maana nikakuuliza unaelewa vp uchawi kwanza?
Hapa umeandika kama mtu asiyejua nini mantiki ya uthibitisho maana ungejua kua uthibitisho ndani yake huanza na maelezo ya kuelezea keypoint ya swali "uchawi ni nini" usinge kurupuka kuandiia haya

Usitumie assumption kuniweka kwenye mhimili ambao akili yako imeulenga, kusema kwamba inawezekana hicho kitu nakijua hapo ni kulazimisha mtazamo wako uendane na fikra zangu
 
Kuthibitisha ni nini?

Lazima tukubaliqne kwamba uelewa wako na uelewa wangu wa uthibitisho ni ule ule.

Kwa sababu, bila kukubaliana, kirahisi sana naweza kukuambia kwamba, Mtume Paulo alieneza Ukristo.

Na uthibitisho ni Biblia imesema hivyo.

Hapo, hata kama hukubaliani nami, ukikataa nafasi ya ku define uthibitisho ni nini, utafanya mjadala mzima usiwe na maana.

Nitathibitishaje wakati wewe na mimi hatujakubaliana uthibitisho ni nini?

Tutafanya vipi "litmus test" wakati hatujakubaliana bado nyekundu ni ipi na ya bluu ni ipi?
Kumbe unaiamini biblia na ndo ufahamu wako ulipoishia me nilidhani una ushahidi tofauti na biblia na hakuna kingine unachojua zaidi ya biblia!
 
Anza wewe kwanza kuthibitisha kwamba wazungu hawajui chochote kuhusu uchawi na hata majini hawayajui.
Unashangaza, wewe unayesema kitu flani lipo ndiye unayepaswa kuonesha hicho kitu ili tukione tuamini kuwa kipo.

Mimi nimesema hakipo kwasababu sijawahi kukiona, kukigusa wala kukishuhudia.

Una uelewa wa kuelewa?
 
Kumbe unaiamini biblia na ndo ufahamu wako ulipoishia me nilidhani una ushahidi tofauti na biblia na hakuna kingine unachojua zaidi ya biblia!
Unajua kusoma kwa ufahamu?

Wapi nimesema naiamini Biblia?

Kuiamini Biblia ni nini?

Mbona hujajibu swali langu la ku define uthibitisho ni nini?

Unaelewa mantiki ya mjadala?

Au unawayawaya tu kwa mambo yaliyokuzidi kimo?
 
Wabongo wanaloga kisiri Siri, wenzetu uchawi unaheshimika.

Ni taaluma Kama taaluma nyingine.

Watu wanasoma mpaka wanahitimu na wanaajiliwa na wengine wanajiajiri.

Wenzetu wanatumia uchawi kufanya maendeleo makubwa Sana nchini mwao.
View attachment 1648846View attachment 1648847View attachment 1648848
Master of Wizardry Duh hii noma sana

Kwa wenzetu kumbe ni taaluma kama taaluma zingine.

Serikali ya Mhe Dr John Pombe Magufuri inatakiwa ilione hili ikiwezekani vyuo vianzishwe kuanzia level ya chini kabsa mpaka level ya uprofesa.

Ili tuondokane na janja janja
 
Hapa umeandika kama mtu asiyejua nini mantiki ya uthibitisho maana ungejua kua uthibitisho ndani yake huanza na maelezo ya kuelezea keypoint ya swali "uchawi ni nini" usinge kurupuka kuandiia haya

Usitumie assumption kuniweka kwenye mhimili ambao akili yako imeulenga, kusema kwamba inawezekana hicho kitu nakijua hapo ni kulazimisha mtazamo wako uendane na fikra zangu
Aisee!mimi najua definition ya computer Ila nikitaka uthibitisho wa uwepo wa computer tafasiri yake ni kwamba sijui ni nini computer hivyo nitakiwa nipewe kwanza definition ya computer?
 
Inawezekana walipoleta dini kuna "chenji kota" tulipigwa

Aliyeitwa shetani ndiye Mungu na Mungu wakamwita shetani

Haimithiliki shetani awe msaada kuliko Mungu
Af yawezekana, umenifanya nifikirie
 
Aisee!mimi najua definition ya computer Ila nikitaka uthibitisho wa uwepo wa computer tafasiri yake ni kwamba sijui ni nini computer hivyo nitakiwa nipewe kwanza definition ya computer?
Mfano wako hau relate na hoja yangu kiufupi uko irrelevant

Definition ya computer umeijulia wapi?

Kwasababu unajua definition ya computer ni nini halafu umekutana na swali kwenye mtihani likikutaka uandike easy kuhusu computer inamaana hutaanza kwa ku-define conputer ni nini kwasababu msaishaji ataelewa tu kua definition hiyo unaijua?
 
Yaan hawa watoto wa jf wananichekesha sana eti hakuna uchawi,,,guys usibishe uchawi haupo huku bado hujakutana na maswahibu ya kichawi,UCHAWI upo jamani acheni masihara
Vijana bado hawaamini

Embu tupia kisanga kmoja labda watakuelewa.
 
Master of Wizardry Duh hii noma sana

Kwa wenzetu kumbe ni taaluma kama taaluma zingine.

Serikali ya Mhe Dr John Pombe Magufuri inatakiwa ilione hili ikiwezekani vyuo vianzishwe kuanzia level ya chini kabsa mpaka level ya uprofesa.

Ili tuondokane na janja janja
Tabu ni kwamba waafrika by nature tuna roho mbaya sana hivyo watu wataumizana zaidi kuliko kuutumia kimaendeleo
 
mtu anayedai uthibitisho dhidi ya jambo fulani nia yake apate kueleweshwa kutoka kwa mtu anayedai kitu hicho kipo

kulingana na namna ambavyo utathibitisha ndivyo nitakapopata concept ya kuuelewa
sifa kubwa ya sisi wachawi ni unafiki tu baaasi. Ndiyo ilikuwa siraha. Ukiona mtu siyo mchawi lkn mnafiki. Anaandaliwa ktk ulimwengu wa giza au anatumika bila yeye kujua kama wewe una sifa zOte za kichawi. Au unatumika bila kujua eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Halafu wachawi hawataki wengine waujue. Watawale wao tu. Biblia imesema mchawi hatarithi ufalme wa mbinguni. Bado mtu na nywele zake zimeota kila mahali anabisha.

Ina maana hajui neno hajui maarifa ya jamii
 
Back
Top Bottom