Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
wazungu ni nyoko kwenye masuala haya mkuu kwanza wengi huwa hawapendi longolongo wao huingia na satan pacts kabisa yaani mkataba maalumu ni zoezi gumu sana na halitaki mtu mwoga mwoga wa kimamamamaWazungu hawana muda mchafu wa Imani chafu
"Kuthibitisha ni kuonesha kitu fulani ni kweli kwa kutafuta maelezo mwenyewe"Definition ya kwanza ya kuhakiki umeielewa vipi?
Definition ya pili inategemeana na namna ulivyoelewa definition ya kwanza...."Kuthibitisha ni kuonesha kitu fulani ni kweli kwa kutafuta maelezo mwenyewe"
Nimeanza kwanza kutaka ufafanuzi wa hayo maelezo yenye kuelezea maana ya uthibitisho,tukishaelewan ndio tuje kwenye uhakiki.
Definition ya pili inategemeana na namna ulivyoelewa definition ya kwanza....
Kwa maana hiyo Kama hujaielewa definition ya kwanza huwezi kuielewa hii ya pili
Jibu swali
Definition ya kwanza ya uhakiki umeielewaje?
Kuna mahali nimedai nina uthibitisho?"Kuhakiki (verify) ni kuangalia maelezo kujua kama hoja ni ya kweli, ambayo maelezo hayo ni uthibitisho uliopewa kuhusiana na kitu usichokijua"
Utaona hapo kwa mujibu wa maelezo yako ni kwamba kuhakiki ni hatua ya pili baada ya kupata uthibitisho,sasa ndio maana mie nataka nifahamu vizuri huo uthibitisho ili ndio nielewe vizuri kuhakiki.
Yeye ndo mchawi anataka usiamini ili usishtuke ukamshughulikia.wengi wasemao hakuna uchawi ni walozi wenyewe tena miaka hii wachawi ni wengi sana ili Mambo yao yaende ni shurti aaminishe wengine wasio wachawi kwamba hakuna ili awaroge vizuriWanachokifanya hawa watu ni kujiaminisha kuwa hakuna uchawi,hilo tukio naona kila ukimuuliza analikwepa kulijadili...
We kumbe sio muelewa,kuna niliposema umedai uthibitisho?Kuna mahali nimedai nina uthibitisho?...
Unaweza kuthibitisha uchawi upo au huwezi?We kumbe sio muelewa,kuna niliposema umedai uthibitisho?..
Naweza kuthibitisha uchawi upo,huu hapa:Unaweza kuthibitisha uchawi upo au huwezi?
Rituals zimekuwa adopted in real life .. ni kazi kutofautisha ibada na maisha ya kawaida.. unaweza kukuta wengi wanashiriki ushirikina bila kujua wanashiriki maana ndio kawaida mpya.Mkuu, sema wewe biashara zako bill wataalamu hawaendi. Huoni research za marketing za sales. Nanma ya kuvita wateja, wafanyaje wateja warudi. Ubora wa huduma za wateja na ubora wa bidhaa.
Innovation wanakuja na vitu vipya katika KILA industry kwakua wako juuu kiteknologia.
Wewe unaeamini lazima uweke hirizi au uchinje au uzike au ufukie na matako vitu ndo biashara ifanikiwe, huo ni mtazamo wako na baadhi ya wanaofanana na wewe.
Thibitisha hicho ulichokiandika ni uchawi na sio randomly words ambayo yanaweza kuandikwa hata na mleviNaweza kuthibitisha uchawi upo,huu hapa:
Sgjhfrgjyrdvnjkjtdsxcvnkiyrex bnkov frd,truuiikgfesssjj jimmv ceeaswiiobhhnk. Aaareiutfvgjjji@hhu(ggjjjkuu)drhhuddkkkfggmrrty rjjiir.
Teyari sasa chukue huo uthibitisho ukahakiki.
Hicho nilichokiandika ndio uthibitisho sasa wewe ndio uhakiki sio mimi.Thibitisha hicho ulichokiandika ni uchawi na sio randomly words ambayo yanaweza kuandikwa hata na mlevi
Kisha nenda hatua ya pili ya kuhakikisha huo uthibitisho
Hata hiki nacho kiandika hapa naweza kukiita uthibitisho wa kuonesha kile unachokiita uthibitisho ni uzushi tu ambao umejitungia na umeamua kuuita uthibitisho. Je huo utakua ni uthibitisho?Hicho nilichokiandika ndio uthibitisho sasa wewe ndio uhakiki sio mimi.
Mimi nimekwambia huo ndio uthibitisho,sasa sijui wewe ulivyokuwa unadai uthibitisho ulikuwa una expect nini au ulikuwa na uthibitisho wako mfukoni?wewe umetaka uthibitisho nimekupa hivyo umebaki wewe tu kuhakiki huo uthibitisho basi.Hata hiki nacho kiandika hapa naweza kukiita uthibitisho wa kuonesha kile unachokiita uthibitisho ni uzushi tu ambao umejitungia na umeamua kuuita uthibitisho. Je huo utakua ni uthibitisho?
Thibitisha uchawi upo na sio habari za vijiweni tu mnazoamua kuchangamsha kijiwe mkiwa na alosto ya kahawa
Kuniambia kwako hakuna maana yeyote kwamba hicho ulichokiandika ni uthibitishoMimi nimekwambia huo ndio uthibitisho,sasa sijui wewe ulivyokuwa unadai uthibitisho ulikuwa una expect nini au ulikuwa na uthibitisho wako mfukoni?wewe umekata uthibitisho nimekupa hivyo umebaki wewe tu kuhakiki huo uthibitisho basi.
Ukiniambia huo sio uthibitisho itabidi unieleze sio uthibitisho ki vp? Chochote kinaweza kuwa uthibitisho.
Mbona hutoi sababu za kwanini hicho nilichokuwekea kuwa sio uthibitisho?maana naona mie nakwambia kuwa huo ndio uthibitisho ila wewe unakataa sasa hebu kinachokufanya ukatae ni nini?Kuniambia kwako hakuna maana yeyote kwamba hicho ulichokiandika ni uthibitisho
Absolutely umeonesha kua unachokipigia promo humu hukijui na unafata mkumbo tu, mi naona ungesizi ili wanaojua wathibitishe
Unaweza kunionesha wapi umethibitisha?Mbona hutoi sababu za kwanini hicho nilichokuwekea kuwa sio uthibitisho?maana naona mie nakwambia kuwa huo ndio uthibitisho ila wewe unakataa sasa hebu kinachokufanya ukatae ni nini?
Nilitegemea baada ya kukupa huo uthibitisho ungefanya uhakiki ila matokeo unaukataa uthibitisho,basi eleza huo uthibitisho wa uchawi ukoje?
Kumbuka kuwa chochote kile kinaweza kuwa uthibitisho hata hizi comments zako humu Jf zaweza kuwa uthibitisho wa jambo fulani.
Kwaiyo civil engineers kunamazingara mnabdi mpige tawire.Mmmhh! Nimeipenda comment yako.
Ila kwenye ujenzi ni shule tu ndio hutumika ndugu. Tupo kwenye hiyo industry ya ujenzi ndio maana nasema hivyo.
Japo kuna mazingira mengine hutokea ugumu wa asili(mazindiko ya wakaazi wa eneo husika. Kama waliweka zindiko au hapana). Mfano, Kabiri la ukoo wa Kiyeyeu huko Iringa.
Lisemwalo lipo lakin mkuuVp kama walipatwa na allergy au maradhi mengine?
Ukiambiwa kitu fulani ni uchawi na kupewa dawa ukapona hiyo inahalalisha kwamba ni uchawi?
Unaweza kuumwa malaria tukasema umelogwa ila ukapewa mseto na kupona, does that make malaria kuwa uchawi?
Story za uchawi zote huwa zipo hivi; kwanza zote ni story za hearsay kama yako ambayo inaondoa credibility yake kwa kiasi kikubwa maana pengine hata wao waliokupa story wamejitungia au kuongeza chumvi, pili huwa hazi add up kama yako.