Wazungu wana uchawi wa "small scale"?

Wazungu wana uchawi wa "small scale"?

Wazungu hawana muda mchafu wa Imani chafu
wazungu ni nyoko kwenye masuala haya mkuu kwanza wengi huwa hawapendi longolongo wao huingia na satan pacts kabisa yaani mkataba maalumu ni zoezi gumu sana na halitaki mtu mwoga mwoga wa kimamamama
 
Definition ya kwanza ya kuhakiki umeielewa vipi?
"Kuthibitisha ni kuonesha kitu fulani ni kweli kwa kutafuta maelezo mwenyewe"

Nimeanza kwanza kutaka ufafanuzi wa hayo maelezo yenye kuelezea maana ya uthibitisho,tukishaelewan ndio tuje kwenye uhakiki.
 
Definition ya pili inategemeana na namna ulivyoelewa definition ya kwanza....

Kwa maana hiyo Kama hujaielewa definition ya kwanza huwezi kuielewa hii ya pili

Jibu swali

Definition ya kwanza ya uhakiki umeielewaje?
 
"Kuhakiki (verify) ni kuangalia maelezo kujua kama hoja ni ya kweli, ambayo maelezo hayo ni uthibitisho uliopewa kuhusiana na kitu usichokijua"

Utaona hapo kwa mujibu wa maelezo yako ni kwamba kuhakiki ni hatua ya pili baada ya kupata uthibitisho,sasa ndio maana mie nataka nifahamu vizuri huo uthibitisho ili ndio nielewe vizuri kuhakiki.
 
Kuna mahali nimedai nina uthibitisho?

Unataka kuufahamu Uthibitisho upi? Uliothibitishwa na nani? Kuhusu nini?

Mimi ndio nimekuomba unipe uthibitisho wa kile unachokidai kua kipo (uchawi). hujaweza

Nataka nijue unaweza kuthibitisha uchawi upo au huwezi?
 
Wanachokifanya hawa watu ni kujiaminisha kuwa hakuna uchawi,hilo tukio naona kila ukimuuliza analikwepa kulijadili...
Yeye ndo mchawi anataka usiamini ili usishtuke ukamshughulikia.wengi wasemao hakuna uchawi ni walozi wenyewe tena miaka hii wachawi ni wengi sana ili Mambo yao yaende ni shurti aaminishe wengine wasio wachawi kwamba hakuna ili awaroge vizuri
 
Kuna mahali nimedai nina uthibitisho?...
We kumbe sio muelewa,kuna niliposema umedai uthibitisho?

Mimi nimetaka ufafanuzi wa maelezo yako yenye kuhusu uthibitisho,ndipo wewe ukaniuliza kama nimeelewa definition yako uliyotoa kuhusu kuhakiki?
 
Unaweza kuthibitisha uchawi upo au huwezi?
Naweza kuthibitisha uchawi upo,huu hapa:

Sgjhfrgjyrdvnjkjtdsxcvnkiyrex bnkov frd,truuiikgfesssjj jimmv ceeaswiiobhhnk. Aaareiutfvgjjji@hhu(ggjjjkuu)drhhuddkkkfggmrrty rjjiir.

Teyari sasa chukue huo uthibitisho ukahakiki.
 
Mkuu, sema wewe biashara zako bill wataalamu hawaendi. Huoni research za marketing za sales. Nanma ya kuvita wateja, wafanyaje wateja warudi. Ubora wa huduma za wateja na ubora wa bidhaa.

Innovation wanakuja na vitu vipya katika KILA industry kwakua wako juuu kiteknologia.

Wewe unaeamini lazima uweke hirizi au uchinje au uzike au ufukie na matako vitu ndo biashara ifanikiwe, huo ni mtazamo wako na baadhi ya wanaofanana na wewe.
Rituals zimekuwa adopted in real life .. ni kazi kutofautisha ibada na maisha ya kawaida.. unaweza kukuta wengi wanashiriki ushirikina bila kujua wanashiriki maana ndio kawaida mpya.
 
Naweza kuthibitisha uchawi upo,huu hapa:

Sgjhfrgjyrdvnjkjtdsxcvnkiyrex bnkov frd,truuiikgfesssjj jimmv ceeaswiiobhhnk. Aaareiutfvgjjji@hhu(ggjjjkuu)drhhuddkkkfggmrrty rjjiir.

Teyari sasa chukue huo uthibitisho ukahakiki.
Thibitisha hicho ulichokiandika ni uchawi na sio randomly words ambayo yanaweza kuandikwa hata na mlevi

Kisha nenda hatua ya pili ya kuhakikisha huo uthibitisho
 
Thibitisha hicho ulichokiandika ni uchawi na sio randomly words ambayo yanaweza kuandikwa hata na mlevi

Kisha nenda hatua ya pili ya kuhakikisha huo uthibitisho
Hicho nilichokiandika ndio uthibitisho sasa wewe ndio uhakiki sio mimi.
 
Hicho nilichokiandika ndio uthibitisho sasa wewe ndio uhakiki sio mimi.
Hata hiki nacho kiandika hapa naweza kukiita uthibitisho wa kuonesha kile unachokiita uthibitisho ni uzushi tu ambao umejitungia na umeamua kuuita uthibitisho. Je huo utakua ni uthibitisho?

Thibitisha uchawi upo na sio habari za vijiweni tu mnazoamua kuchangamsha kijiwe mkiwa na alosto ya kahawa
 
Mimi nimekwambia huo ndio uthibitisho,sasa sijui wewe ulivyokuwa unadai uthibitisho ulikuwa una expect nini au ulikuwa na uthibitisho wako mfukoni?wewe umetaka uthibitisho nimekupa hivyo umebaki wewe tu kuhakiki huo uthibitisho basi.

Ukiniambia huo sio uthibitisho itabidi unieleze sio uthibitisho ki vp? Chochote kinaweza kuwa uthibitisho.
 
Mimi nimekwambia huo ndio uthibitisho,sasa sijui wewe ulivyokuwa unadai uthibitisho ulikuwa una expect nini au ulikuwa na uthibitisho wako mfukoni?wewe umekata uthibitisho nimekupa hivyo umebaki wewe tu kuhakiki huo uthibitisho basi.

Ukiniambia huo sio uthibitisho itabidi unieleze sio uthibitisho ki vp? Chochote kinaweza kuwa uthibitisho.
Kuniambia kwako hakuna maana yeyote kwamba hicho ulichokiandika ni uthibitisho

Absolutely umeonesha kua unachokipigia promo humu hukijui na unafata mkumbo tu, mi naona ungesizi ili wanaojua wathibitishe
 
Mbona hutoi sababu za kwanini hicho nilichokuwekea kuwa sio uthibitisho?maana naona mie nakwambia kuwa huo ndio uthibitisho ila wewe unakataa sasa hebu kinachokufanya ukatae ni nini?

Nilitegemea baada ya kukupa huo uthibitisho ungefanya uhakiki ila matokeo unaukataa uthibitisho,basi eleza huo uthibitisho wa uchawi ukoje?

Kumbuka kuwa chochote kile kinaweza kuwa uthibitisho hata hizi comments zako humu Jf zaweza kuwa uthibitisho wa jambo fulani.
 
Unaweza kunionesha wapi umethibitisha?
 
Mmmhh! Nimeipenda comment yako.
Ila kwenye ujenzi ni shule tu ndio hutumika ndugu. Tupo kwenye hiyo industry ya ujenzi ndio maana nasema hivyo.
Japo kuna mazingira mengine hutokea ugumu wa asili(mazindiko ya wakaazi wa eneo husika. Kama waliweka zindiko au hapana). Mfano, Kabiri la ukoo wa Kiyeyeu huko Iringa.
Kwaiyo civil engineers kunamazingara mnabdi mpige tawire.
 
Vp kama walipatwa na allergy au maradhi mengine?

Ukiambiwa kitu fulani ni uchawi na kupewa dawa ukapona hiyo inahalalisha kwamba ni uchawi?

Unaweza kuumwa malaria tukasema umelogwa ila ukapewa mseto na kupona, does that make malaria kuwa uchawi?

Story za uchawi zote huwa zipo hivi; kwanza zote ni story za hearsay kama yako ambayo inaondoa credibility yake kwa kiasi kikubwa maana pengine hata wao waliokupa story wamejitungia au kuongeza chumvi, pili huwa hazi add up kama yako.
Lisemwalo lipo lakin mkuu
 
Back
Top Bottom