Wazungu wana uchawi wa "small scale"?

Hichi kitu naona kama ni Cha kweli kabisa, wazungu ni wachawi ila wanakinga za kutosha kuzuia wasilogeke. Ndo mana enzi za ukoloni babu zetu walipata shida sana na uchawi wao kwa wazungu ulidunda .

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kakitabu nilikasoma makraba walieleza wazungu walioenda Kongo jinsi walivyokuwa wakiumwa na kufa kwa kurogwa na wakongo. Wazungu walirogwa sana ila hawawezi kukuandikua kuwa walikufa kwa kurogwa, hip itawapa ujasiri na muwadharau. Mtawala huandika habar zake nzuri tu.
 
Hujui kitu wewe wazungu wapo smart sana hao ni waswahili ndo wanaopigwa kizembe hivyo.
 
Sawa motivational speaker
 
Hujui kitu wewe wazungu wapo smart sana hao ni waswahili ndo wanaopigwa kizembe hivyo
Mimi nazungumzia matukio ambayo yapo kiuhalisia yanatokea ila wewe unaleta mitazamo yako binafsi kuhusu wazungu.

Ukiwafikiria hivyo wazungu basi unaweza hata ukafiri hakuna omba omba wa kizungu.
 
Wazungu ni nani? Define hiyo term "mzungu".

Unajuaje huyu mzungu, na huyu si mzungu?

Tuanzie hapo kwanza.
Ngoja nikujibu vizuri maana kuna mdau analalamika kwamba wewe ni mbishi sana.

Mzungu ni mtu au watu waliosambaza dini ya ukristo sehemu mbalimbali Duniani japo kuna sehemu walikwama kama China, India nk

Islael ndo taifa ambalo Mzungu ametokea kiuasilia kabisa.

Sasa unaweza kuuliza maswali mengine kama unayo!
 
Mimi nazungumzia matukio ambayo yapo kiuhalisia yanatokea ila wewe unaleta mitazamo yako binafsi kuhusu wazungu.

Ukiwafikiria hivyo wazungu basi unaweza hata ukafiri hakuna omba omba wa kizungu.
Ngoja nikupuuze tu maana umehama mada alafu umeanza matusi huenda reasoning capacity yako ipo chini ya kiwango.

Bye.
 
Wazungu wanaongoza kwa uchawi na wana majini makali sana.
ukitaka amini wazungu ni wachawi ujenzi wa madaraja haya ya kawaida. bwana weee! Wana sarakasi si kawaida. Hapo mweusi huitwi. Unasubiri nje Kama lile la kirumi. TARIME/ musoma jamani wee! walikuwa wanajenga usiku tu. Hapo ni baada ya company kibao kushindwa.
 
weye nae hujui ni muongo!!. Mzungu hajatoka Israel ya leo , alivamia tu pale.
Bali Ametoka mapango ya milima ya cauccus miaka 6000 tu iliyopita wakati huo weusi ndiyo vinara wako kibao Duniani hasa mesopotamia ya kale yote ile ukiweka pamoja na Israel ya leo.ni weusi tupu walikuw a hao wayahudi wa leo ni wavamizi tu.
 
Biashara zao ni ubora wa bidhaa na huduma. Tz biashara haziendi kwa kuwa umasikini umezidi, watu hawana pesa za kutumia. Nchi zilizoendelea kuna ajira na kupelekea watu wengi kuwa na uwezo wa kufanya manunuzi, hivyo biashara zinashamiri.
Naona km kuna ka ukweli ndg yangu. Nifanyeje nije huko hata ka kibarua tu ka kulisha nguruwe? Nimekwama south
 
Kuna siku nilikuwa natoka kazini New York City.

Nilipofika karibu kona ya Wall Street na Broadway, hapo kwenye New York Stock Exchange, nikakutana na mtu mmoja mweusi, anasema kwa accent nzito ya West Africa, kama ya Nigeria hivi, kasimama katikati ya barabara anahubiri habari za Ukristo.

Watu wanampita hawana habari naye, lakini yeye anahubiri tu.

Huyo naye alisambaza Ukristo.

Je, huyo naye ni mzungu?
 
Sasa huyo si alikuwa anahubiri tu mbona hata huku bongo wapo wengi wa aina hiyo.
Hata hivyo wewe ndo ulimuona!

Narudia tena wazungu ni wale waliosambaza dini ya ukristo ambayo kimsingi hapo awali haikuepo nao si wengine bali ni kutoka taifa la islael.

Ukiweza kuwapata hao na ukathibitisha ndo wenyewe hao ndo wazungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…