Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
- Thread starter
- #41
Mkuu uchawi umekuwa wangu tena?Unamaanishaje hapo?. Niko kwenye biashara karibia miaka 15. Lakini sijawahi kugusa hicho kitu unachosema. Wewe umewashuhudia wote wanaojishughurisha na biashara wanahusika na huo uchawi wako?
Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app