Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Mkuu unavyoandika kama vile maisha yanakaririka kwamba ukifanya hivi lazima iwe vile,kuna watu wajinga na wana hela na wengine wana elimu ila wanaishia kutumia elimu zao kufanyia utapeli tu.Kitendo cha kuamini kuna uchawi mpaka hapo ni ujinga tayari.
Na ndio maana masikini wengi waishio mijini na vijijini wasio na elimu ndio wanaamini uchawi.
Na wanaamini uchawi sababu ni wajinga na ni wajinga ndio maana ni masikini.
Kama wengi wenu humu mnaamini uchawi sababu ni wajinga na masikini pia.
Still unaweza ukasoma na ujinga ukabaki palepale considering education system yetu ni mbovu.
Na ndio sababu graduates wengi masikini.
Hiyo ni FACT.
For instance mtu biashara yake haiendi sababu hajui kufanya biashara sababu ni mjinga.
Hajui uchumi wa nchi unaendaje.
Hajui uchumi wa watu anaowauzia
Sababu hajui anawauzia watu wa aina gani.
Wala hajui anamlenga nani.
Pia hajui kwanini anafanya hiyo biashara.
Biashara sio kuuza tu biashara unahitaji elimu or kama huna elimu au unayo elimu ila bado mjinga basi utaenda kwa mganga na huo ndio ujinga ninaouongelea.
Hiyo ni FACT.
Haya mnayoandika ni story za vijiweni kuchangamsha kijiwe.
Bytheway I feel sad kuona africans bado mnaamini uchawi bado tuna safari ndefu sana.
Maisha hayakaririki.