Wazungu wana uchawi wa "small scale"?

Wazungu wana uchawi wa "small scale"?

Kitendo cha kuamini kuna uchawi mpaka hapo ni ujinga tayari.

Na ndio maana masikini wengi waishio mijini na vijijini wasio na elimu ndio wanaamini uchawi.

Na wanaamini uchawi sababu ni wajinga na ni wajinga ndio maana ni masikini.

Kama wengi wenu humu mnaamini uchawi sababu ni wajinga na masikini pia.
Still unaweza ukasoma na ujinga ukabaki palepale considering education system yetu ni mbovu.
Na ndio sababu graduates wengi masikini.

Hiyo ni FACT.

For instance mtu biashara yake haiendi sababu hajui kufanya biashara sababu ni mjinga.
Hajui uchumi wa nchi unaendaje.
Hajui uchumi wa watu anaowauzia
Sababu hajui anawauzia watu wa aina gani.
Wala hajui anamlenga nani.
Pia hajui kwanini anafanya hiyo biashara.

Biashara sio kuuza tu biashara unahitaji elimu or kama huna elimu au unayo elimu ila bado mjinga basi utaenda kwa mganga na huo ndio ujinga ninaouongelea.

Hiyo ni FACT.

Haya mnayoandika ni story za vijiweni kuchangamsha kijiwe.


Bytheway I feel sad kuona africans bado mnaamini uchawi bado tuna safari ndefu sana.
Mkuu unavyoandika kama vile maisha yanakaririka kwamba ukifanya hivi lazima iwe vile,kuna watu wajinga na wana hela na wengine wana elimu ila wanaishia kutumia elimu zao kufanyia utapeli tu.

Maisha hayakaririki.
 
Dogo ebu kafanyie hiyo biashara yako uswahilini ama vijijini huko uje na mrejesho.

Yani we unatukana kabisa na kusema wanaoamini uchawi ni wajinga? Dogo unapotea alafu watu kama nyie mkiingia 18 za wachawi hamchomokagi kirahisi.

Na unajua nini? Mchawi huwa anapenda wajinga kama wewe wasioamini uchawi upo, ili anapokupiga usigundue.
Kuna mmoja alikuwa anajifanya mtu wa dini na msomi hana mambo ya kiswahili anawaambia wenzake waache imani za kishirikina,ila alipigwa stroke akaenda kuponea kwa mganga.
 
Mkuu uko Too emotional mpaka ulichoandika kimegeuka fallacy considering ni opinion na sio fact.

Leta facts na sio opinions hizo story za vijiweni ili kutishana peleka kwa watoto wenye 5yrs duniani.

Now Prove uwepo wa uchawi...?

I can prove hakuna uchawi.
Huwezi ku prove hakuna uchawi ila unachoweza ni kuukata uchawi.
 
Kuna mmoja alikuwa anajifanya mtu wa dini na msomi hana mambo ya kiswahili anawaambia wenzake waache imani za kishirikina,ila alipigwa stroke akaenda kuponea kwa mganga.
Mkuu unajua nimeshuhudia mambo mengi ya kishirikina tangu utoto wangu unashangaa mtu anasema wanaoamini uchawi upo ni wajinga.

Inashangaza, unamuuliza inawezekanaje Binadamu-Mwanamke aliyekamilika azae Kuku? Hajiulizi tu...!
 
Mkuu unajua nimeshuhudia mambo mengi ya kishirikina tangu utoto wangu unashangaa mtu anasema wanaoamini uchawi upo ni wajinga.

Inashangaza, unamuuliza inawezekanaje Binadamu-Mwanamke aliyekamilika azae Kuku? Hajiulizi tu...!
Wanachokifanya hawa watu ni kujiaminisha kuwa hakuna uchawi,hilo tukio naona kila ukimuuliza analikwepa kulijadili. Hata mie nashangaa maana watu tumeshuhudia matukio mengi ya kichawi na wengine tulikuwa tunapoteza ndugu zetu yani kila mwaka anaangushwa mtu hadi tipokuja kushtukia halafu anakuja mtu anakwambia hakuna uchawi hadi unajiuliza huyu mtu anaishi sayari gani?

Nina rafiki yangu alikuwa kafungwa asifanye jambo lolote la mafanikio kwake,yani akipata kazi anapandisha majini kazini full fujo akirudishwa home anakuwa sawa ikitokea safari ya kwenda nje majini yanaanza hapo yani hatari.ila sasa kapona fresh.
 
Kuna siku nilikuwa natoka kazini New York City.

Nilipofika karibu kona ya Wall Street na Broadway, hapo kwenye New York Stock Exchange, nikakutana na mtu mmoja mweusi, anasema kwa accent nzito ya West Africa, kama ya Nigeria hivi, kasimama katikati ya barabara anahubiri habari za Ukristo.

Watu wanampita hawana habari naye, lakini yeye anahubiri tu.

Huyo naye alisambaza Ukristo.

Je, huyo naye ni mzungu?
hahahaaaa....naona unaweka variable sawa ili ajikaange mwenyewe kwa mafuta yake hahaaaa
 
To be honest you're too emotional.

Second sijaelewa ulichokiandika.

But it seems like wewe ndio walewale.
Amesema kuna mwanamke mkoani Kigoma,amejifungua kuku,badala ya binadamu. Amejifungulia Hospitali. Madaktari wamethibitisha kuwa amejifungua kuku. He,hiyo unaizungumziaje?
Ndivyo alivyomaanisha.
Pia wadau wengi wamezungumzia hilo swala la kuku. Wakate kiu yao.
 
Mwengine ni wewe mkuu.

Ndio maana nikasema
Nimekutana na watu wa aina yako wengi sana.
Mtu ukipinga opinions zake ubongo wake una take as personally attack hivyo unajaribu kuweka self defense ili mtu huyo asijihisi inferior badala ya kutumia hoja na facts kumjibu mtu huyo.
ila ukweli utabaki palepale kuwa yeye ni inferior na ni small minded.

Na hivyo brain kuanza kuweka self defense ambapo moja wapo ni kumuattack mtu huyo personally.

Kama ulivyofanya hapa

And i think utaendelea kuniattack personally instead ya kutumia hoja na facts ili kunipinga.

Na hiyo ni kwa watu wenye akili changa haijarishi una umri gani.

Hiyo ni proof tosha niko sahihi 100%.
Sababu wote mmeshindwa kupinga instead mnatukana tu.

Wapi nimekutana? Tusi liko wapi ? .

I can not waste my energy to explain mambo ambayo sio level yako , ni sawa na mtu wa darasa la pili atake kufundishwa mambo ya form Six .

Ndio maana nikakwambia bado uko kwenye early stage of an infant , hujui kitu hapa duniani, siku ukishakua kiakili, ukishakua na life experience ya kutosha then I will be willing to waste my energy trying to explain to you , as for now, you are closed minded, hakuna nitakachokwambia ukanielewa, bado mtoto mchanga sana , au na hapa utasema pia nimekutukana?
 
Back
Top Bottom