Wazungu wana uchawi wa "small scale"?

Mkuu unavyoandika kama vile maisha yanakaririka kwamba ukifanya hivi lazima iwe vile,kuna watu wajinga na wana hela na wengine wana elimu ila wanaishia kutumia elimu zao kufanyia utapeli tu.

Maisha hayakaririki.
 
Kuna mmoja alikuwa anajifanya mtu wa dini na msomi hana mambo ya kiswahili anawaambia wenzake waache imani za kishirikina,ila alipigwa stroke akaenda kuponea kwa mganga.
 
Huwezi ku prove hakuna uchawi ila unachoweza ni kuukata uchawi.
 
Kuna mmoja alikuwa anajifanya mtu wa dini na msomi hana mambo ya kiswahili anawaambia wenzake waache imani za kishirikina,ila alipigwa stroke akaenda kuponea kwa mganga.
Mkuu unajua nimeshuhudia mambo mengi ya kishirikina tangu utoto wangu unashangaa mtu anasema wanaoamini uchawi upo ni wajinga.

Inashangaza, unamuuliza inawezekanaje Binadamu-Mwanamke aliyekamilika azae Kuku? Hajiulizi tu...!
 
Mkuu unajua nimeshuhudia mambo mengi ya kishirikina tangu utoto wangu unashangaa mtu anasema wanaoamini uchawi upo ni wajinga.

Inashangaza, unamuuliza inawezekanaje Binadamu-Mwanamke aliyekamilika azae Kuku? Hajiulizi tu...!
Wanachokifanya hawa watu ni kujiaminisha kuwa hakuna uchawi,hilo tukio naona kila ukimuuliza analikwepa kulijadili. Hata mie nashangaa maana watu tumeshuhudia matukio mengi ya kichawi na wengine tulikuwa tunapoteza ndugu zetu yani kila mwaka anaangushwa mtu hadi tipokuja kushtukia halafu anakuja mtu anakwambia hakuna uchawi hadi unajiuliza huyu mtu anaishi sayari gani?

Nina rafiki yangu alikuwa kafungwa asifanye jambo lolote la mafanikio kwake,yani akipata kazi anapandisha majini kazini full fujo akirudishwa home anakuwa sawa ikitokea safari ya kwenda nje majini yanaanza hapo yani hatari.ila sasa kapona fresh.
 
hahahaaaa....naona unaweka variable sawa ili ajikaange mwenyewe kwa mafuta yake hahaaaa
 
To be honest you're too emotional.

Second sijaelewa ulichokiandika.

But it seems like wewe ndio walewale.
Amesema kuna mwanamke mkoani Kigoma,amejifungua kuku,badala ya binadamu. Amejifungulia Hospitali. Madaktari wamethibitisha kuwa amejifungua kuku. He,hiyo unaizungumziaje?
Ndivyo alivyomaanisha.
Pia wadau wengi wamezungumzia hilo swala la kuku. Wakate kiu yao.
 

Wapi nimekutana? Tusi liko wapi ? .

I can not waste my energy to explain mambo ambayo sio level yako , ni sawa na mtu wa darasa la pili atake kufundishwa mambo ya form Six .

Ndio maana nikakwambia bado uko kwenye early stage of an infant , hujui kitu hapa duniani, siku ukishakua kiakili, ukishakua na life experience ya kutosha then I will be willing to waste my energy trying to explain to you , as for now, you are closed minded, hakuna nitakachokwambia ukanielewa, bado mtoto mchanga sana , au na hapa utasema pia nimekutukana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…