Wazungu wanafanyaje mpaka Watoto wadogo chini ya miaka 13 wanahitimu degree kwenye vyuo vikuu majuu

hivi huko napo wana msululu wa masomo, mara kiswahili,hisabati,historia,stadi za kazi, haiba na michezo n.k?
Nilishangaa sana dogo anaomba anunuliwe daftari zaidi ya 16.
Za nini?? Eti kila somo na madaftari mawili, masomo yako 9 sijui 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…