Ukirudi nyuma utaona kila sehemu duniani ilikuwa na watu wachache. Then baada ya comfort provided by civilization, idadi ya watu ikaongezeka.
What is civilization anyway? By definition, ni "An organized culture encompassing many communities, often on the scale of a nation or a people; a stage or system of social, political or technical development." You see?
Ukiangalia size ya Europe na Afrika, ni wazi kwamba Afrika ni kubwa. With numerical evidence just for the sake of it, Africa ina approximately 30 million square kilometres, by 10 million km² of Europe. Maana yake Europe inaingia mara 3 ndani ya Afrika. By your data, that's 0.3 km² per person in Afrika. That's a lot of space per person. Na hauwezi kuwa na civilization bila ya kundi kubwa la watu, au different cultural contact or friction, positive or negative. Size kubwa ya Afrika prohibited such a phenomenon na ndiyo maana tuna makabila mengi. Great African civilization ingetokea lakini ingechukua muda mrefu zaidi. Tofauti na Europe ambayo ni ndogo na iliyokuwa na watu wengi, significantly exceeding its size comparatively to Africa.
Fun fact, Europe's 800 million population ni nusu ya Africa's. Yet, humsikii mtu akisema ni overpopulated. In their standards, we should be over 2.5 billion. Of course, I know of their economic reasons, jargon.
Whether tuta-adapt immediately au gradually sio tatizo. Muhimu ni kwamba ni lazima tu-adapt. Na ingekuwa vizuri wangefanya hivyo, sababu njia pekee to true development ni challenge.