lost files
JF-Expert Member
- Apr 17, 2025
- 1,146
- 3,425
Licha ya yote,elimu na vyuo vyote tulivyo navyo,Bado mtu mweusi ndio jamii duni kuzidi zote duniani..Hawataki kuangalia tulipotoka
Nah, Afrika iliishi vipi kabla ya ujio wa wakoloni? Simply, tuta-adapt.Wakiacha kutoa misaada,wakizuia technology zao kuanzia net Hadi matibabu,madawa,viuatilifu..wakiweka vikwazo vya uchumi,miaka 50 tu,tutabaki Milion 200 Africa nzima..
Kabla ya Mkoloni na Mapinduzi yake ya viwanda hili bara lilikua lina takribani watu 100M, akaja yeye na mifumo yake tumelipuka kutoka huko mpaka 1.4 B; akiondoka ghafla una uhakika tuta adapt upesi?Nah, Afrika iliishi vipi kabla ya ujio wa wakoloni? Simply, tuta-adapt.
Tuta adapt ila tutarudi nyuma miaka 1000Nah, Afrika iliishi vipi kabla ya ujio wa wakoloni? Simply, tuta-adapt.
Bara lote litajaa Wahadzabe, wamang'ati na wamasaiTuta adapt ila tutarudi nyuma miaka 1000
You're mistaken, unapochukulia jamii kama kitu kimoja, sio kweli. Na hiyo ndio sababu kuna mtu mmoja, anayeongoza kikundi kidogo cha watu wachache kinaitwa serikali inayosimamia kila kitu. Hivyo maendeleo yoyote ya jamii husika hayakuletwa na jamii nzima. Hapana, bali watu wachache wenye uwezo. Kuanzia kwenye Technology, uchumi, vita, siasa na academically.Br ukitoa ushoga kunaujinga upi wazungu wanao sisi tunao wote ujinga mkubwa na mdogo na bado tunausaka chaka tu chaka
Hakutakua na serikali kila kabila litakua na mtawala wakeBara lote litajaa Wahadzabe, wamang'ati na wamasai
Kabla ya Mkoloni na Mapinduzi yake ya viwanda hili bara lilikua lina takribani watu 100M, akaja yeye na mifumo yake tumelipuka kutoka huko mpaka 1.4 B; akiondoka ghafla una uhakika tuta adapt upesi?
AgreedUkirudi nyuma utaona kila sehemu duniani ilikuwa na watu wachache. Then baada ya comfort provided by civilization, idadi ya watu ikaongezeka.
What is civilization anyway? By definition, ni "An organized culture encompassing many communities, often on the scale of a nation or a people; a stage or system of social, political or technical development." You see?
Ukiangalia size ya Europe na Afrika, ni wazi kwamba Afrika ni kubwa. With numerical evidence just for the sake of it, Africa ina approximately 30 million square kilometres, by 10 million km² of Europe. Maana yake Europe inaingia mara 3 ndani ya Afrika. By your data, that's 0.3 km² per person in Afrika. That's a lot of space per person. Na hauwezi kuwa na civilization bila ya kundi kubwa la watu, au different cultural contact or friction, positive or negative. Size kubwa ya Afrika prohibited such a phenomenon na ndiyo maana tuna makabila mengi. Great African civilization ingetokea lakini ingechukua muda mrefu zaidi. Tofauti na Europe ambayo ni ndogo na iliyokuwa na watu wengi, significantly exceeding its size comparatively to Africa.
Fun fact, Europe's 800 million population ni nusu ya Africa's. Yet, humsikii mtu akisema ni overpopulated. In their standards, we should be over 2.5 billion. Of course, I know of their economic reasons, jargon.
Whether tuta-adapt immediately au gradually sio tatizo. Muhimu ni kwamba ni lazima tu-adapt. Na ingekuwa vizuri wangefanya hivyo, sababu njia pekee to true development ni challenge.
Kulipia ving'amuzi maji umeme taka mawasiliano na Bima za vifaa au vyombo ni ujinga mkubwa kuliko wa mwaafrika .Br ukitoa ushoga kunaujinga upi wazungu wanao sisi tunao wote ujinga mkubwa na mdogo na bado tunausaka chaka tu chaka
Hatuna vyuo wala shule sisi tuna magereza ya ufahamu na maarifaLicha ya yote,elimu na vyuo vyote tulivyo navyo,Bado mtu mweusi ndio jamii duni kuzidi zote duniani..
Jana Kuna mahala nimepita nimeona mtu kajenga nyumba ya kisasa ila maji ya bafuni yanamwagika Nje,..