Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na viongozi wetu?(wa mpira lakini)WaTanzania walio wengi vichwa vibovu.
Kuingia uwanjani bongo ni adhabuMifumo ya watu kuingia uwanjani ndo tatizo
Kama ulishafika pale uwanja wa Taifa saa 1 kabla ya mechi utaelewa maana folen sio ya nchi hii mwishowe wengine wanakata tamaa na kuacha kuingia
Wenzetu wana mifumo ya uingiaji uwanjan mingi inaypeleka mtu direct kiti chake kilipo so hata afike dak 2 kabla ya game anaingia na anaangalia
hatari moja na nusuMechi ya Liverpool na Chelsea watu wanaingia uwanjani kwa nusu saa tu uwanja umejaa,sisi Simba na Yanga mashabiki wapo uwanjani tangu saa moja asubuhi tumerogwa
Mifumo ya watu kuingia uwanjani ndo tatizo
Kama ulishafika pale uwanja wa Taifa saa 1 kabla ya mechi utaelewa maana folen sio ya nchi hii mwishowe wengine wanakata tamaa na kuacha kuingia
Wenzetu wana mifumo ya uingiaji uwanjan mingi inaypeleka mtu direct kiti chake kilipo so hata afike dak 2 kabla ya game anaingia na anaangalia
Kuingia uwanjani bongo ni adhabu
Karaha kabisa bora ukae zako home ucheki luningani na pepsi yako bariiidiYaani ukiwaza kwenda Taifa kuangalia big game mtihani. Unawaza jinsi ya kupata tiketi, kuingia, pakukaa (manake hawafuati siti namba, unaeza ukakata vip halafu ukakuta imejaa wale askari wa pembeni wa kuwapa 10 au 5 wanakufungulia kamba ya vip ukiwa ushaingia) on top sasa basi uwaze na kuibiwa simu, wallet ect na ukiwa n gari ndio kabisa uwaze usalama wa gari, parkings ect. Sasa hiyo ni starehe au karaha
Tunaviongozi wapumbavu... (mek Maxime)Kumbe inahitaji kuwa na degree kuweza kuingia uwanjani nusu saa kabla ya game
hata kama wakisema wabongo wenye degree ndo wanaruhusiwa kuingia bado uwanja utajazwa kwa siku nzima na sio nusu saa.Kumbe inahitaji kuwa na degree kuweza kuingia uwanjani nusu saa kabla ya game
Sometimes hawafungui hata moja hadi Yanga wanarukaga ukutaNa kwanini mageti mengine hawafungui utakuta uwanja una mageti 10 ila unashangaawanafungua mawili tu au moja