Wazungu wanatumia nusu saa kujaza uwanja sisi tunatumia siku nzima

Mechi ya Liverpool na Chelsea watu wanaingia uwanjani kwa nusu saa tu uwanja umejaa,sisi Simba na Yanga mashabiki wapo uwanjani tangu saa moja asubuhi tumerogwa
Mimi kila siku nasema na nitaendelea kusema hii nchi imelaaniwa ,, yaan hii nchi kila kitu hatuwezi loh!!!hebu fikiria kitu kidogo tu unalipa pesa yako kukata ticket ukifika uwanjan askar wanakugasi gasi unaweza hata kupigwa rungu si upimbi huu..

Hii nchi tunapaswa kukaa na kujitafakari kama taifa haiwezekani nchi ina zaid ya miaka 60 alafu hali ndo hii, kuna laana hapa sio bure
 
Kuna watu walishasusa kwenda viwanjani,hela yako mwenyewe upigwe virungu utishiwe mbwa ovyooo
 
Ule mziki wa kuingia uwanjani kwa dar hapo Taifa ni balaa.
Hasa kipindi hiki cha jua unaweza ukazimia kwenye foleni.

Bongo bado sana kwenye mambo yetu tunavyopanga na kutekeleza pia.
 
Kwa wenzetu robo saa nyingi uwanja umeshajaa
Mechi ikiisha mda kidogo kiwanja cheupe
Bongo nashangaa mechi sa10 mtu anaondoka sa3 asubuh 😄😄😄😄
 
Mechi ya Liverpool na Chelsea watu wanaingia uwanjani kwa nusu saa tu uwanja umejaa,sisi Simba na Yanga mashabiki wapo uwanjani tangu saa moja asubuhi tumerogwa
Bongo hamna utaratibu mzuri wa kuingia uwanjani. Wenzetu ticket inaonesha unaingilia gate gani ili ufike kwenye siti yako na magate yote yanakuwa wazi. Sasa bongo utakuta magate mawili tu ndio yako wazi. Sina uhakika kama ticket zjnakuwa na namba ama ukiingia unakaa popote.
 
Ule mziki wa kuingia uwanjani kwa dar hapo Taifa ni balaa.
Hasa kipindi hiki cha jua unaweza ukazimia kwenye foleni.

Bongo bado sana kwenye mambo yetu tunavyopanga na kutekeleza pia.
Kama kuingia uwanjani shida tutaweza kweli kuingia mbinguni😀
 
Bongo hamna utaratibu mzuri wa kuingia uwanjani. Wenzetu ticket inaonesha unaingilia gate gani ili ufike kwenye siti yako na magate yote yanakuwa wazi. Sasa bongo utakuta magate mawili tu ndio yako wazi. Sina uhakika kama ticket zjnakuwa na namba ama ukiingia unakaa popote.
Mpira bongo bado tunaona ni mchezo wa kihuni,sio biashara
 
Tatizo watu wanafanya kazi kwa mazoea. Badala ya kuangalia wapi kunahitaji kuboreshwa hili kutoa uduma nzuri na kuongeza mafanikio, wanang’ang’ania mfumo ule ule.

Na hii sehemu zote mpaka serikalini, ndio maana mpaka leo tupo pale pale.
 
Huku kwetu Mtu anayekaa baa kuangalia mpira anafaidi zaidi ya Yule anayeenda kiwanjani, kwenda uwanjani ni mtoko,mtu unatakiwa uenjoy Ila huku kwetu ni mateso na karaha.
 
Pamoja na yote mnasahau ule uwanja wa Mkapa una mapungufu katika mageti. Hii ni kwa sababu ukiondoa upande wa Magharibi na kidoogo Kusini, mageti ya upande wa Mashariki na Kaskazini hayatumiki.

Upande wa Mashariki huku kuna Kambi ya Jeshi ya JKT Mgulani. Hakuna anayeingilia huko.

Upande wa Kaskazini kumepakana na Ukuta wa Chuo cha DUCE hautumiki.

Upande wa Kusini , nusu pana Uwanja wa Uhuru hapatumiki wakati mwingine.

So upande wenye uhai ni upande wa Magharibi pekee ambapo pana mageti mawili tuuu. Nadhani Kosa lilikuwa ni la Wakandarasi hawakutoa nafasi kwa mageti hayo kutumika ipasavyo au eneo uwanja ulipojengwa hapakuwa sahihi.

Tungekuwa tunatumia mageti yote Sita , badala ya 2 au 3 hali ingekuwa tofauti sana
 
Yote yanaweza kuwa majibu,ila nikazie ile sehemu haikuwa sahihi kujenga ule uwanja,huwezi kuwa na viwanja viwili vikubwa sehemu moja,ina maana ukiwa na mechi mbili kubwa ukavitumia vyote kwa wakati mmoja ni vurugu,ule wa zamani ungeboreshwa huu mpya ungetafutiwa sehemu nyingine ,Tanzania hatuna uhaba wa ardhi any way imeshatokea
 
Ndio maana ukasema wazungu. Sisi sio wazungu
Let me tell you something Lazima tutofautiane ndio maisha yawe maisha
Kwani unaweza ukafika London ukaingia Restaurant ukauliza ugali mlenda na dagaa? Au makande?
But mzungu akija Tanzania akila si unaona unafurahi Sana?
This is life Wacha tutofautiane ndio ladha halisi ya maisha.
Mimi napenda Sana Tanzania nchi yangu
Nakula kitu nataka , Matunda fresh sio ya kuhifadhiwa kwenye ma-supermarket miezi kazaa
Jivunie nchi yako. Hii ni nchi Bora Sana pamoja na changamoto tulizonazo waulize watanzania wanaoishi nje like Europe
Wanapata hela lakini hawapati furaha wanayoipata wakiwa hapa Bongo
Wee Wacha bhana Tembea uone
Bongo patamu Sana
Asubuhi ukiamka mtoto wa shangazi kakutembelea kidogo hajapaka mafuta vizuri unaitisha mafuta unampakaa anafurahi
Ukikaa kidogo simu ya Shemeji anakuuliza mmeamkaje huko
Ukikaa kidogo shabiki wa Yanga amekupigia kukuchamba Jana mlivyofanya vibaya
Ukikaa kidogo mke anakuambia chai tayari
Mezani unakuta magimbi , tambi, mayai ya kuchemsha , vitumbua, Matunda
Vyote hivyo hata 10000 hujatumia
Unataka Nini wewe
Hetu tulia hapa Kanani ( Nchi ya maziwa na asali)
 
Dah bongo burudani
 
Back
Top Bottom