Yaani ukiwaza kwenda Taifa kuangalia big game mtihani. Unawaza jinsi ya kupata tiketi, kuingia, pakukaa (manake hawafuati siti namba, unaeza ukakata vip halafu ukakuta imejaa wale askari wa pembeni wa kuwapa 10 au 5 wanakufungulia kamba ya vip ukiwa ushaingia) on top sasa basi uwaze na kuibiwa simu, wallet ect na ukiwa n gari ndio kabisa uwaze usalama wa gari, parkings ect. Sasa hiyo ni starehe au karaha