MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,996
Comments za watu hizi zinatupa nguvu sana kwa sisi tusiotaka kuchanja. Pumzika kwa amani [emoji24] Rais MagufuliJP. Ulihujumiwa baba. Pumzika kwa amani [emoji24] we miss you dadHii ni video ya dakika moja lakini mpaka sasa imetazamwa na watu zaidi ya 60,000 na kuchangiwa na watu zaidi ya 1,500 ndani ya masaa 24
Kilichovuta hisia yangu ni maoni ya wachangiaji ambao wengi wao ni watu kutoka Marekani na Ulaya kwa sababu ni Youtube channel inayohusu Europe and USA affairs.
Kama bando lako la intaneti halitoshi huhitaji kuangalia video, fungua maoni ya wachangiaji usome na hii itakuonyesha mtazamo wa “wazungu” kuhusu Tanzania kwenye suala la UVIKO-19
Mungu Ibariki Tanzania!
VIDEO
Nesi hajasukuma dawa.Hii ni video ya dakika moja lakini mpaka sasa imetazamwa na watu zaidi ya 60,000 na kuchangiwa na watu zaidi ya 1,500 ndani ya masaa 24
Kilichovuta hisia yangu ni maoni ya wachangiaji ambao wengi wao ni watu kutoka Marekani na Ulaya kwa sababu ni Youtube channel inayohusu Europe and USA affairs.
Kama bando lako la intaneti halitoshi huhitaji kuangalia video, fungua maoni ya wachangiaji usome na hii itakuonyesha mtazamo wa “wazungu” kuhusu Tanzania kwenye suala la UVIKO-19
Mungu Ibariki Tanzania!
VIDEO
huyu nesi anashikaje syringe kishamba vile mbona haja press dawa na kidole gumbaHii ni video ya dakika moja lakini mpaka sasa imetazamwa na watu zaidi ya 60,000 na kuchangiwa na watu zaidi ya 1,500 ndani ya masaa 24
Kilichovuta hisia yangu ni maoni ya wachangiaji ambao wengi wao ni watu kutoka Marekani na Ulaya kwa sababu ni Youtube channel inayohusu Europe and USA affairs.
Kama bando lako la intaneti halitoshi huhitaji kuangalia video, fungua maoni ya wachangiaji usome na hii itakuonyesha mtazamo wa “wazungu” kuhusu Tanzania kwenye suala la UVIKO-19
Mungu Ibariki Tanzania!
VIDEO
Hizi chanjo zinaleta mjadala ambao ukichunguza utagundua ambao wanakubaliana nazo wanatumia nguvu nyingi na hoja za nguvu kuwalazimisha wasiokubaliana nazo au wenye wasiwasi nazo.Ninachoona Tanzania inakataa chanjo kitaalamu sana kwa tahadhari
1. Mzigo umekubaliwa kuingia nchini
2. Kupata chanjo ni hiari (ni wewe na akili yako)
3. Kuna mtu (Gwajima) mwenye watu yupo mstari wa mbele kuipinga chanjo (ku manipulate akili za watanzania ili na wao wawaze na kufikiri mbali kuhusu chanjo)
Yule sidhani kama anaongea akiwa hana ufahamu, na wakubwa zake wasimkataze
Ukizisoma comments za watu wenye hiyo video zingine zinatoa tafakuri la kina kirefu!Comments za watu hizi zinatupa nguvu sana kwa sisi tusiotaka kuchanja. Pumzika kwa amani [emoji24] Rais MagufuliJP. Ulihujumiwa baba. Pumzika kwa amani [emoji24] we miss you dad
Basi nenda kafungue kesiUkizisoma comments za watu wenye hiyo video zingine zinatoa tafakuri la kina kirefu!
Yaani baadhi ya watu wameishajua na kuhitimisha kilichomuondoa Rais Magufuli hapa duniani!
Kwaiyo MAZINGAOMBWE?huyu nesi anashikaje syringe kishamba vile mbona haja press dawa na kidole gumba
aisee tumeliwa hapo ndipo litakapotumika neno la JK za kuambiwa changanya na za kwakoKwaiyo MAZINGAOMBWE?
Naamini ni Nesi ambaye taaluma yake hatuwezi kuitilia mashaka!huyu nesi anashikaje syringe kishamba vile mbona haja press dawa na kidole gumba
Hizi chanjo zinaleta mjadala ambao ukichunguza utagundua ambao wanakubaliana nazo wanatumia nguvu nyingi na hoja za nguvu kuwalazimisha wasiokubaliana nazo au wenye wasiwasi nazo.
Mara ya kwanza kusikia JPM ametutoka kuna vitu viwili viliingia kichwani kimoja ni haiwezekani Rais wa nchi kufa kirahisi namna hii hata Watanzania hatukuwahi kuambiwa kuwa ni mgonjwa au lah ila Mungu ni Mwema kama kuna uhuni ulifanyika bhasi Mungu atalipa hapa hapa Duniani 😢😢😢😢😢😢
Jf ni sehemu ambayo hata vichaaa na wapuuzi ukutana so sijui upo kundi gani kati ya haya mawiliMungu amlipie mtu muovu!?
Comments za watu hizi zinatupa nguvu sana kwa sisi tusiotaka kuchanja. Pumzika kwa amani [emoji24] Rais MagufuliJP. Ulihujumiwa baba. Pumzika kwa amani [emoji24] we miss you dad