Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndo ukweli...Comments nyingi zinasema magufuli aliuliwa
Muumba mbingu na nchi atatuvushaHuo ndo ukweli...
Hii nchi ina vibaraka kila kona. Jeshini, TISS na kila mahali.
Vibaraka wa wazungu wamejazana humo.
Magu angekuwa sahihi kama hizo chanjo hata huko Ulaya hazileti madhara.Comments za watu hizi zinatupa nguvu sana kwa sisi tusiotaka kuchanja. Pumzika kwa amani [emoji24] Rais MagufuliJP. Ulihujumiwa baba. Pumzika kwa amani [emoji24] we miss you dad
Hii ni video ya dakika moja lakini mpaka sasa imetazamwa na watu zaidi ya 60,000 na kuchangiwa na watu zaidi ya 1,500 ndani ya masaa 24
Kilichovuta hisia yangu ni maoni ya wachangiaji ambao wengi wao ni watu kutoka Marekani na Ulaya kwa sababu ni Youtube channel inayohusu Europe and USA affairs.
Kama bando lako la intaneti halitoshi huhitaji kuangalia video, fungua maoni ya wachangiaji usome na hii itakuonyesha mtazamo wa “wazungu” kuhusu Tanzania kwenye suala la UVIKO-19.
''Wazungu'' wanashangaa sana kinachoendelea nchini!
Mungu Ibariki Tanzania!
VIDEO
😳😳😳😳Magu angekuwa sahihi kama hizo chanjo hata huko Ulaya hazileti madhara.
Hii ni video ya dakika moja lakini mpaka sasa imetazamwa na watu zaidi ya 60,000 na kuchangiwa na watu zaidi ya 1,500 ndani ya masaa 24
Kilichovuta hisia yangu ni maoni ya wachangiaji ambao wengi wao ni watu kutoka Marekani na Ulaya kwa sababu ni Youtube channel inayohusu Europe and USA affairs.
Kama bando lako la intaneti halitoshi huhitaji kuangalia video, fungua maoni ya wachangiaji usome na hii itakuonyesha mtazamo wa “wazungu” kuhusu Tanzania kwenye suala la UVIKO-19.
''Wazungu'' wanashangaa sana kinachoendelea nchini!
Mungu Ibariki Tanzania!
VIDEO
Imagine wengi tulishangaa Rais anakufaje kama raia wa kawaida?????bado kinatuuma kwa kweli na hatuchanji ng'oMara ya kwanza kusikia JPM ametutoka kuna vitu viwili viliingia kichwani kimoja ni haiwezekani Rais wa nchi kufa kirahisi namna hii hata Watanzania hatukuwahi kuambiwa kuwa ni mgonjwa au lah ila Mungu ni Mwema kama kuna uhuni ulifanyika bhasi Mungu atalipa hapa hapa Duniani 😢😢😢😢😢😢
Kama siku ikitokea napewa nafasi ya kumuuliza swali Samia au Kassim swali langu ningeuliza why walitudanganya watanzania kuwa kiongozi wetu yupo na anapiga kazi wkt wanajua si kweli?
Jf ni sehemu ambayo hata vichaaa na wapuuzi ukutana so sijui upo kundi gani kati ya haya mawili
Hii ni video ya dakika moja lakini mpaka sasa imetazamwa na watu zaidi ya 60,000 na kuchangiwa na watu zaidi ya 1,500 ndani ya masaa 24
Kilichovuta hisia yangu ni maoni ya wachangiaji ambao wengi wao ni watu kutoka Marekani na Ulaya kwa sababu ni Youtube channel inayohusu Europe and USA affairs.
Kama bando lako la intaneti halitoshi huhitaji kuangalia video, fungua maoni ya wachangiaji usome na hii itakuonyesha mtazamo wa “wazungu” kuhusu Tanzania kwenye suala la UVIKO-19.
''Wazungu'' wanashangaa sana kinachoendelea nchini!
Mungu Ibariki Tanzania!
VIDEO
Basi nenda kafungue kesi
Hili suala la chanjo kila navyoona wanatumia nguvu kubwa kui promote ndivyo napoteza matumaini nayo!
Watanzania mnaamini sana katika conspiracy za kijinga jingaNinachoona Tanzania inakataa chanjo kitaalamu sana kwa tahadhari
1. Mzigo umekubaliwa kuingia nchini
2. Kupata chanjo ni hiari (ni wewe na akili yako)
3. Kuna mtu (Gwajima) mwenye watu yupo mstari wa mbele kuipinga chanjo (ku manipulate akili za watanzania ili na wao wawaze na kufikiri mbali kuhusu chanjo)
Yule sidhani kama anaongea akiwa hana ufahamu, na wakubwa zake wasimkataze
Ingia subreddit ya r/nonewnormal uone hao hao us community waavozungumzia corona na chanjoWana CCM huwa siwaelewi.... Huwa maoni ya mitandaoni yakimkosoa JPM mnasema ooh anachukiwa mitandaoni na sio mtaani mara upinzani upo Twitter na youtube pekee!!! Ila mitandao hyo hyo ikitoa hoja zinazowafurahisha mnaziona kama ni credible source!!
Ningeomba upite reddit jukwaa linaitwa r/conspirancy uone comment za kumkejeli JPM alivyoshughulikia Covid 19!! Then uniambie maoni ya US community ikoje juu yetu
Magufuli mlitaka haishi milele nyie wapumbavu!!!!, Kubalini tu kuwa Sasa Rais Ni Samia na ndio amir jeshi mkuu,Ukizisoma comments za watu wenye hiyo video zingine zinatoa tafakuri la kina kirefu!
Yaani baadhi ya watu wameishajua na kuhitimisha kilichomuondoa Rais Magufuli hapa duniani!