#COVID19 “Wazungu” wanavyoiona Tanzania baada ya kukubali chanjo za Corona

Infact mataifa ya Ulaya na Marekani yana watu wapumbavu na wajinga kama mataifa mengine ya Afrika. Hivyo si kila comment zao zina hoja ya msingi.

Kwa wale ambao hamjapoteza watu kwa ugonjwa wa changamoto ya upumuaji..endeleeni kubeza juhudi za wataalamu na serikali zote za duniani katika kuhakikisha watu wanachanjwa.

Ila sisi ambao tumejionea ndugu zetu wakiteseka na hatimaye kupoteza maisha tuko mstari wa mbele kumpongeza Rais na kwenda kupata chanjo.
 
Kuna vid moja inatembea tembea huko mitandaoni ninahofia kuiweka hapa, inawataja viongozi watano wa nchi za kiafrica waliouawa sababu ya kuikataa chanjo akiwemo mzee wetu
 
Kuna vid moja inatembea tembea huko mitandaoni ninahofia kuiweka hapa, inawataja viongozi watano wa nchi za kiafrica waliouawa sababu ya kuikataa chanjo akiwemo mzee wetu
Magufuli bora alivyopumzishwa, kile kitendo chake cha ovyo cha kulijaza bunge zima wabunge aina ya Gwajima ni cha ovyo kuwahi kutokea duniani.
 
Hayo machanjo wangekomaa kuwapiga wagonjwa na wenye umri mkubwa ndio wahitaji wa hali ya juu, sijui kama itawakinga ama itawafyekelea mbali.
 
Comments za watu hizi zinatupa nguvu sana kwa sisi tusiotaka kuchanja. Pumzika kwa amani [emoji24] Rais MagufuliJP. Ulihujumiwa baba. Pumzika kwa amani [emoji24] we miss you dad

Faana Maoni mengine hayo hapo ☝🏾
 
Comments nzito sana
 

Attachments

  • Screenshot_20210801-105454_YouTube.jpg
    28.8 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…