#COVID19 “Wazungu” wanavyoiona Tanzania baada ya kukubali chanjo za Corona

Wewe mtoto wa mwanamke msimbe na mpumbavu sana, kwani wazungu hawachanjwi Chanjo ya Covid-19?
Mshenz mkubwa mbwa Koko wewe, mmelaaniwa na kizazi chote cha CCM mbuzi pori nyie
 
Hilo ni swali la kumuuliza Prime Minister
 
Magufuli mlitaka haishi milele nyie wapumbavu!!!!, Kubalini tu kuwa Sasa Rais Ni Samia na ndio amir jeshi mkuu,

Chanjo Ni hiali ya mtu,na inatuhusu sisi watu wazima above 40 years, hamjalazimishwa kuchanjwa
Amri jeshi mkuu si ni jina tu Kama majina mengine ya huku mtaani kwetu.

Msitutishie na mavyeo ambayo hayana maana, kilicho na maana kwetu ni maslahi ya nchi yetu na wananchi wake ndio kipaumbele chetu
 
Ukiangalia hiyo video vizuri utaona Raisi Samia hakupigwa iyo chanjo. Sindano ilichomekwa ikiwa tyr ishabonyezwa na uyo nesi alichofanya kakazia kwa juu tu lkn hakupress dawa iingie

Ikiwa itaendelea kua hiyari na mimi ni mmoja wa watu ambao hawatachomwa iyo ndude
 
Comments za watu hizi zinatupa nguvu sana kwa sisi tusiotaka kuchanja. Pumzika kwa amani [emoji24] Rais MagufuliJP. Ulihujumiwa baba. Pumzika kwa amani [emoji24] we miss you dad
Wenyewe kwao pia imeshtukiwa!
 
Ukiona mtu kapewa "hiari" na bado ananung'unika, tambua huyo mtu hana anachokiamini!!
 

Maoni ya wachangiaji kwenye hii video yanafikirisha sana!
 
Imagine wengi tulishangaa Rais anakufaje kama raia wa kawaida?????bado kinatuuma kwa kweli na hatuchanji ng'o
Kwenye swala la corona hamna cha rais wala raia wa kawaida, ukicheza nayo inakufyekelea mbali.
Alafu hujalazimishwa kuchanjwa.
 
Nguvu zinatumika kwenye mambo mengi, labda kama unashangaa kwenye hili maana ww ni mfaidika wa nguvu nyingi na akili kidogo, ila this time nguvu nyingi ziko kinyume ya matakwa yako.
Sawa nimekuelewa Tindo Nyundo!
 
Jf ni sehemu ambayo hata vichaaa na wapuuzi ukutana so sijui upo kundi gani kati ya haya mawili
Yaani kila kundi ulilolitaja akiwepo ni tatizo katika forum! JF ni kama kokoro
 
Yule mshamba alishaondoka.
 
Hili suala la chanjo kila navyoona wanatumia nguvu kubwa kui promote ndivyo napoteza matumaini nayo!

Hahaha Boss inshu sio nguvu kubwa wanayotumia
bali USA Rais wao ameona bora wawalipe watu dola 100 ili wapate chanjo!
nawaza kuwa USA ni nchi yenye utajiri, wasomi wengi, uelewa na ufahamu mkubwa wa mambo na technology!
wao wamegomea chanjo hadi serikali inawaza kuwalipa ili wachanjwe!
Kwanini wagome ilihali wao ni moja ya nchi zilizoshuhudia vifo vingi mno
huku wakipoteza wapendwa wao, ndugu, Jamaa na marafiki kwa Corona!
(Kwamba hawa hawahitaji mtu kuwahadithia madhara ya corona coz wameyashuhudia wenyewe)
Wao ndiyo walipaswa wawe mstari wa mbele kupata chanjo kutokana na yaliyowapata!
sembuse sisi???
Mungu atusaidie kwa kweli!
 
Ukiona mtu kapewa "hiari" na bado ananung'unika, tambua huyo mtu hana anachokiamini!!

Boss inshu sio anachokiamini
hata nchi Kama France nao walianza hivi hivi
Kuwa chanjo ni hiari ya mtu
Ila Rais wao ilibidi tu abadilishe masharti
Kuwa kuanzia Jana Kama hauna chanjo
basi HAUTARUHUSIWA KUNUNUA CHAKULA sokoni na kwenye migawaha,
mpaka pale watakapopata chanjo!
Je ni wangapi bora wafe njaa kuliko kupata chanjo?
Boss hebu fikiria chakula kilivyo inshu sensitive katika maisha ya mwanadamu!
Mungu Atusimamie kwa kweli!
 
Coments kwenye hiyo video ni balaa!

Kumbe watu huko duniani wanaamini Magufuli aliuawa!

Kuna mzungu mmoja kakoment kwamba "Tz ilikuwa ni moja ya nchi pekee iliyobaki huru ila baada ya kuuawa Magufuli imejitia kitanzi na sasa nguvu zimeelekezwa kumuua rais wa Madagascar"

Hizi coments zimetutia moyo sana sisi tusiotaka hiyo michanjo.
 
Mama anachoongelea hapo ni idadi ya Chanjo zilizoletwa ni ndogo na sio idadi ya Watu waliojiokeza ili kwenda kuchanjwa hizo subtitles zinapotosha.

Boss hahaha na watengeneza chanjo hao nimeona Jana wameongeza bei
Ila pia wametarget soko la Africa
hivyo na Moderna wanaingia South Africa
asihofu zitakuwa nyingi tu hadi tuchanje mbuzi na mapapai yetu kabisa!
Unajua maisha ya aliyepata chanjo na maisha ya ambaye hajapata chanjo NI SAWA
na hicho ndicho kinashangaza watu hadi wengine hawaoni umuhimu wowote!
Kwamba pamoja na kupata chanjo
Ila Kwamba utaugua tena (kuambukizwa),
Utaambukiza tena,
Kwamba hata utakufa pia kwa corona!!!
Ilihali na kwa mtu ambaye hajapata chanjo nae ni hivyo hivyo!! (Kuambukizwa, kuambukiza na kufa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…