Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
- Thread starter
- #41
nyie mnaohofia mwenzenu atapata saratani ya ngozi,i bet mtakuwa wa kwanza kuondoka na saratani hizo nyengine....
unless wale wanaotengenezea mikorogo nyumbani(home made mikorogo) mbayo haizingatii vipimo vya maabara,but i think hio mikorogo iliyopo dukani are safe to use,unless proven otherwise.....
ofcourse kuna opportunisst wanatake advantage ya hio market ya mikorogo,hivyo kuibua story za hapa na pale...but hawa wapo kila mahali hadi kwenye madawa feki sometimes tunakunywa.....!,hawaishii kny mikorogo tuu...
unless mje na statistics kuonyesha uwiano kati ya matumizi ya mkorogo na hio saratani ya ngozi....i dont b'liv what you all guys are saying....
mkorogo ni sawa na plastic surgery tu kuongeza ****** ama matiti...linaweza lisiwe jambo linaloappeal kwa kila mtu,but so long linaongeza confidence ya mtu ana the person is happy to use...sioni why we should condemn.....
Wape moyo yaelekea nawe pia ni miongoni mwao POLE YAKO