Wazungu washwahili duh

Wazungu washwahili duh

nyie mnaohofia mwenzenu atapata saratani ya ngozi,i bet mtakuwa wa kwanza kuondoka na saratani hizo nyengine....

unless wale wanaotengenezea mikorogo nyumbani(home made mikorogo) mbayo haizingatii vipimo vya maabara,but i think hio mikorogo iliyopo dukani are safe to use,unless proven otherwise.....

ofcourse kuna opportunisst wanatake advantage ya hio market ya mikorogo,hivyo kuibua story za hapa na pale...but hawa wapo kila mahali hadi kwenye madawa feki sometimes tunakunywa.....!,hawaishii kny mikorogo tuu...

unless mje na statistics kuonyesha uwiano kati ya matumizi ya mkorogo na hio saratani ya ngozi....i dont b'liv what you all guys are saying....

mkorogo ni sawa na plastic surgery tu kuongeza ****** ama matiti...linaweza lisiwe jambo linaloappeal kwa kila mtu,but so long linaongeza confidence ya mtu ana the person is happy to use...sioni why we should condemn.....

Wape moyo yaelekea nawe pia ni miongoni mwao POLE YAKO
 
Naomba mniquote hapa: "Vipodozi vinapotumiwa vizuri au vibaya vinaweza kuficha uzuri wako au kufichua ubaya wako". Na kuwa pale unapovitumia kuficha ubaya wako basi vipodozi huufichua! Anayetumia vipodozi vizuri huwezi kuwa na utata wa uzuri wake kwani vipodozi huuthibitisha tu.
 
Hii nayo ni M.M. Original?
 
Vitu vingine vinatia kinyaa! Natural beauty bana, however you are,kuna mtu /watu wanakupenda hivyohivyo ulivyo! Shida zaidi hapo ni pale ambapo mtu ananuka chemicals! Huyo wa Star Tv Alikuwaga mrembo, kashajiharibu maskini!
 
Wow!! What a metamorphosis...I believe black is beatiful. There a good reason for all that melanin.
 
hakujua thamani ya rangi yake, rangi ambayo could never be faked!!!

siku hizi sijui kakaaje kaaje, kiuchafu chafu tu!!!

mimi bado nasema all the best kwenye safari yao kuelekea ocean road kaka!!!

hapo wakwetu umepatia neno lake hasa, huku ni kutokujiamini....nani aliwaambia weupe ndio uzuri? Sauda kachemka sana hebu angalia huo uso na hiyo mikono....hovyoooooo
 
hakujua thamani ya rangi yake, rangi ambayo could never be faked!!!

siku hizi sijui kakaaje kaaje, kiuchafu chafu tu!!!

mimi bado nasema all the best kwenye safari yao kuelekea ocean road kaka!!!

Hapo sasa

Iko siku atakuja jamaa anataka wawe na ngozi ya kikwetu cjui mchina anaweza?:yuck:
 
samahanini jamani, lakini huyu dada mie hamna cku nimependa kuanzia uvaaji hadi cjui make up, kuna pic hapo yaani kajikandika ma powder balaa...cjui mshauri wake nani jamani.

Mshauri wake ni Maimartha wa jesse, kweli ukitembea na mwizi na wewe utakuwa mwizi. Alikuwa ana rangi nzuri kweli zamani ( maji ya kunde) na alikuwa anavaa mavazi ya heshima. Alipoanza urafiki na maimatha ghafla sio sauda yule ninaemjua.
 
:target: Wataendelea kuwa hivyo hadi siye tunaoamua aina ya maisha yao tutakapobadilika na kuanza kuwatokea wanawake natural wenye staha zao.
 
Naaam Ahsante dada!!, mimi nawapenda nyie weusi, maji ya kunde..................African Lady, Your Beaut...................
hahahaaaaaaaaa,mbona wengine sie weusi na tunapendwa tuuu,in fact you have to be proud of what you are ,sio kujikataa na kujichubuua hadi mvuto wa asili unapotea,its sad and i think its because of lil' education and lack of self esteem! shame on them,wangejua wazungu tulionao huku wanatamani kuwa weusi kama sisi coz ya adha za kuungua na jua due to shortage of melanin pigment.........wasingetumia maji ya betri na tindikali kujichubua hivyo,hadi wanatisha sasa.....na nyie wanaume acheni kuwadanganya kwamba wakijichubua soko lao kwenu linaongezaka.,yangu macho jinsi watakavyo fubaa na kuwa ampicillin aka rangi mbili!:frown:
 
ucwatupie lawana wanaume , ni akili zote waafrica ambao tumeona kila ki2 ni mzugu ,tulianzia majina ,tukaje nguo ,tabia na na sasa sura , jst ctaki hata kuoona kinachofuata ni nn ?
hahahaaaaaaaaa,mbona wengine sie weusi na tunapendwa tuuu,in fact you have to be proud of what you are ,sio kujikataa na kujichubuua hadi mvuto wa asili unapotea,its sad and i think its because of lil' education and lack of self esteem! shame on them,wangejua wazungu tulionao huku wanatamani kuwa weusi kama sisi coz ya adha za kuungua na jua due to shortage of melanin pigment.........wasingetumia maji ya betri na tindikali kujichubua hivyo,hadi wanatisha sasa.....na nyie wanaume acheni kuwadanganya kwamba wakijichubua soko lao kwenu linaongezaka.,yangu macho jinsi watakavyo fubaa na kuwa ampicillin aka rangi mbili!:frown:
 
Tufike kila kona kuanzia nywele tunazozibabua ili zionekana kama za hao wazungu. Hii hatari mtu unajichubua mpaka unakuwa kama ngozi ya nguruwe mweupe ha ha ha!
Mh tutafika tu
 
hahahaaaaaaaaa,mbona wengine sie weusi na tunapendwa tuuu,in fact you have to be proud of what you are ,sio kujikataa na kujichubuua hadi mvuto wa asili unapotea,its sad and i think its because of lil' education and lack of self esteem! shame on them,wangejua wazungu tulionao huku wanatamani kuwa weusi kama sisi coz ya adha za kuungua na jua due to shortage of melanin pigment.........wasingetumia maji ya betri na tindikali kujichubua hivyo,hadi wanatisha sasa.....na nyie wanaume acheni kuwadanganya kwamba wakijichubua soko lao kwenu linaongezaka.,yangu macho jinsi watakavyo fubaa na kuwa ampicillin aka rangi mbili!:frown:
Hakuna mwanaume anayewadanganya wenyewe tu hawajiamini. Kwa mfano mimi naweza kumzimikia mtoto yeyote yule awe mweusi tii kama mkaa au mweupe kama karatasi....yaani kwangu color sio ishu kabisaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom