Wazungu wengi hunukia harufu moja je hio harufu ni mafuta au perfume gani?

Kama ulishakutana na watasha somewhere wakikupitia utasikia harufu moja very amaizing je inaitwaje kama inauzwa madukani tuambiane .............
Huwa wanapaka Sun block/sun shed ili kulinda ngozi yao na mionzi ya jua
 
nasikia mzungu hata akijamba harufu yake sio kali sijui nikweli ila aachie black sasa lazima ushike tumbo
Hapo ukute maharage yaliyolala halafu kara na kiporo cha wali na Mayai na Juisi Ya embe, Lazima mtafutane tena isiwe kaachia la sauti no huo haunuki sana uwe silence daaah shidaaaaah
 
Hayo mafuta hata ndugu zetu albino wanapaka ni ya kuzuua miale ndo maana muafrika hata akiishi ulaya hawezi kupaka maana hayamuhusu
 
kwel kabisa..nna lecturer wang hapa ni from england..huwa wana haruf kama za albino...
 
Hapo ukute maharage yaliyolala halafu kara na kiporo cha wali na Mayai na Juisi Ya embe, Lazima mtafutane tena isiwe kaachia la sauti no huo haunuki sana uwe silence daaah shidaaaaah
hahahahaaaa nihatare sana mkuu hyo kitu
 
Sijawahi kusikia kama harufu zao n nzuri aisee
Na wahindi nao wana harufu mbaya mnoooo Mungu anisamehe
 
Umeona mbali sana,ni kwel kbsa nmefanya kaz ya utalii kwa muda kidgo na nikwel anaharufu inayofanana,,mwanzo nilidhan labda ni jasho lakin mnashinda nao wala hakuna unaeona anajipaka mafuta au kujipulizia pafyum lakin still harufu ipo palepale...
 
nazani ni dawa ya mbu ya kupaka hata mimi iyo harufu huwa naipenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…