Wazungu wengi hunukia harufu moja je hio harufu ni mafuta au perfume gani?

Wanashangaza wanapaka mafuta ya kujikinga na mionzi ya jua halafu ni hodari wa kukesha juani(unaweza mkuta mzungu anaota jua hadi la saa tano sita mchana)
sikirefu cha mzungu ni mzungukaji,sasa wataachaje kuzunguka
 
Nzi pia wanapenda harufu moja very amazing. Harufu hiyo inawavutia sana. Je mtu akitoa jibu hapa, unatalaumu kwamba watu wanachukia nzi kwa sababu wanapenda hiyo harufu?
Nzi wanapenda harufu mbaya.
 
Kweli huwa na harufu moja lakini hainuki vizuri ni mbaya kwakweli. Wahindi wasio oga ndiyo hatari zaidi
 
Nzi wanapenda harufu mbaya.
Mbaya kwako lakini wao ndio wanaipenda. Kama vile anaependa juisi na anayependa mataputapu wote wanaona wanatumia ile kitu moyo inapenda, kitu mzuri.
 
Ni kweli kabisa hata mtanzania ukienda marekani au ulaya unakuw wa tofauti sana pia na wao wanashangaa harufu Zetu na si wazungu hata mchana mwarabu mhindi wote akiwa mgeni utasikia hatufu tofauti ila akishaa kaa sana na mwili wake ukazoea anakuwa wa kawaida ndio mana hatusikii sana warabu na wachina kwa sababu wengi tumeishi nao mda mrefu sana
 
Wanashangaza wanapaka mafuta ya kujikinga na mionzi ya jua halafu ni hodari wa kukesha juani(unaweza mkuta mzungu anaota jua hadi la saa tano sita mchana)
Wanajikinga na mienzi hatarishi (U. V rays) na siyo kwamba hawaliitaji jua kabisa
 
Kweli hata mi inaniudhi harufu ya Trump kwenye Runinga nikimuona
 
Watu wanachuki... Wazungu they smell nice. Inawezekana ikawa pia ni dawa ya kuoshea nywele. Na si kweli kuwa ni wachafu. Nmedate wazungu na nlienjoy sana mahusiano nao. Anytme ukigusa sehem yake ina harufu natural na si ya mikojo kama baadh ya waswahili.

Kuoga au kutokuoga ni tabia ya mtu. Mbona tunaambiwa waarabu na wahindi ni wachafu sana? Nenda maeneo ambayo wamekaa waarabu... But si wote pia.so ni tabia tu ya mtu. Ila kitu kimoja napenda.... They always smell nice na ni wasaf hasa maeneo yao ya kificho
 
Mie ile harufu yao naifananisha na nguo za mitumba inayotoka nje. Siipendi yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…