Bolingo nangai ni mapenzi yangu...Hapa wadau
Ni iwe ulijifunza, uliishi Congo na unaweza kuongea lingala basi unaweza kushare hata mistari miwili mitatu ukaeleza ina maana gani ili watu wanifunze lingala,
Mfano ule wimbo wa donat mwanza pale alipoimba “ Bana Congo tosimbanamaboko, congo elonga alimaanisha “ wakongomani wote tushikane mkono au tuungane Kongo isonge mbele “
Maneno kama Bolingo Nangai ni kusema mpenzi wangu au posa na bolingo inamaana ya kiu ya mapenzi, naomba wadau tuendelee kutiririka.
B
Bolingo nangai ni mapenzi yangu...
Merci moningamerci
Ingia youtube tafuta translation yake Kuna mwana ameutafsiri wimbo wote kwa kiswahili Safi kabisaHaa...napenda kikongo mimi,lugha yao iko romantic sana. Hebu mmoja anipe verse yoyote ya jb mpiana kwa tafsiri ya kiswahili hasa kutoka ule wimbo wa feux d'amour
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
ThanxxIngia youtube tafuta translation yake Kuna mwana ameutafsiri wimbo wote kwa kiswahili Safi kabisa
Pia alisema ,Mais nayebi Bolingo eza Mabe na malamu (Mimi najuwa mapenzi Yana ubaya na wema)Mfano Fally kwenye wimbo wa Associe alitamka maneno kama Bolingo esalaka pasi, hapa alimaanisha mapenzi huleta maumivu sana