Hapa wadau
Ni iwe ulijifunza, uliishi Congo na unaweza kuongea lingala basi unaweza kushare hata mistari miwili mitatu ukaeleza ina maana gani ili watu wanifunze lingala,
Mfano ule wimbo wa donat mwanzo pale alipoimba “Bana Congo tosimbanamaboko, Congo elonga" alimaanisha “wakongomani wote tushikane mkono au tuungane Kongo isonge mbele“
Maneno kama "Bolingo Nangai" ni kusema "mpenzi wangu" au "posa na bolingo" inamaana ya "kiu ya mapenzi," naomba wadau tuendelee kutiririka.