Wazungumzaji wa lingala na kiswahili cha kikongo tupeane phrases za Lingala

Makumi mawili- Ni ishirini
Makumi matatu - Ni 30
Makumi maine- 40

Masasi - Ni risasi

Mayimayi bila shaka Ni maji
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hicho ni kiswahili tu mkuu ila kinawashinda kutamka vizuri wala sio kilingala hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…