Wewe jamaa ni kichwani maji kabisa hivi unadhani watoto nyimbo wanajifunzia nyumbani? Watoto wanacheza mtaani na huko mtaani Kuna vilibrary na soloon ambazo zinapiga nyimbo muda wote, mtoto anajifunza vitu vingi mtaani kuliko nyumbani, ukisema usiupige nyumbani lakini mtoto akarudi anaimba nyege nyege nyege.
Hivi huwa unatumia Nini kufikiri?
Shida Neno NYEGEEE bhasiii...Why wafupishee Nyegeziii....!??? Iokotee popotee inaimbwaa maana ni ngumu hata mtoto kujua ni matusii sasaa neno Nyegee leynyewee tayari ni Tusii.. Iokotee haina tusi direct ilaa tafsida tu
Hivi ww jamaa unaposikiliza mziki wa Cuba, Spain, India, Korea, Congo n.k unafahamu nn kuhusu lugha hizo? Otherwise hujui nn maana ya muziki.Jaribu kuwa serious basi,akafanyie mziki nje ya nchi ? Angeweza tu kama mashairi yake pamoja na lugha ingekuwa inajulikana ,hivi unapoimba nyege,nyege ,nyegezi unakuwa unaimanisha nini?
Nan kakwambia kuwa nyege ni tusi? Nyege ni hali ya kutama kufanya mapenzi. Nasio tendo ili liwe tusi ni lazima lihusishwe na kitendo. Matusi mengi unaojua wew ni vitenzi. Ila nyege sio kitenzi ni hali