chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Pitapita yangu nikaona leo niangalie habari nikaona WCB wameitisha mkutano na kuanza kulalamika kuhusu nyimbo yao sijui inaitwaje ila video inaonesha kama kashfa ya imani fulani.
WCB sio mara ya kwanza mpaka kwenye chaneli yao kufanya hao na bado kupewa adhabu.
Tambueni kuwa mafanikio yenu yasifanye kuwa mnajua au kufanya jambo ambalo mnaona mgusi imani yenu.
Jifunzeni kwa Alikiba mwenye hekima sana na kwanini hapendi video ambazo zinaweza kuleta utata