WCB kukosea kupo kwanini mnajiona wa pakee

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Pitapita yangu nikaona leo niangalie habari nikaona WCB wameitisha mkutano na kuanza kulalamika kuhusu nyimbo yao sijui inaitwaje ila video inaonesha kama kashfa ya imani fulani.

WCB sio mara ya kwanza mpaka kwenye chaneli yao kufanya hao na bado kupewa adhabu.

Tambueni kuwa mafanikio yenu yasifanye kuwa mnajua au kufanya jambo ambalo mnaona mgusi imani yenu.

Jifunzeni kwa Alikiba mwenye hekima sana na kwanini hapendi video ambazo zinaweza kuleta utata
 
Usipomtaja alikiba uzi wako hautasomwa?
Kanisa mbona video za mbele tunaona scene hzo na hakuna shida yoyote na ndipo dini hizi zilipotokea?

Kwani hapa bongo kuna padri alilalamika,waambieni hao mazwazwa wenzenu,WCB forever
 
Pitapita yangu nikaona leo niangalie habari nikaona WCB wameitisha mkutano na kuanza kulalamika kuhusu nyimbo yao sijui inaitwaje ila video inaonesha kama kashfa ya imani fulani.
WCB sio mara ya kwanza mpaka kwenye chaneli yao kufanya hao na bado kupewa adhabu.

Tambueni kuwa mafanikio yenu yasifanye kuwa mnajua au kufanya jambo ambalo mnaona mgusi imani yenu.

Jifunzeni kwa Alikiba mwenye hekima sana na kwa nini hapendi video ambazo zinaweza kuleta utata
Kwa sababu walifuturisha WABUNGE
 
Ally Kiba ndio anapaswa kujifunza kwa Wasafi, sina haja ya kuandika mengi hadi Edo Kumwembe kaajiliwa na Wasafi, na wasafi ndio ndio Diamond.
 
Pitapita yangu nikaona leo niangalie habari nikaona WCB wameitisha mkutano na kuanza kulalamika kuhusu nyimbo yao sijui inaitwaje ila video inaonesha kama kashfa ya imani fulani.
WCB sio mara ya kwanza mpaka kwenye chaneli yao kufanya hao na bado kupewa adhabu.

Tambueni kuwa mafanikio yenu yasifanye kuwa mnajua au kufanya jambo ambalo mnaona mgusi imani yenu.

Jifunzeni kwa Alikiba mwenye hekima sana na kwa nini hapendi video ambazo zinaweza kuleta utata
Wameeaonea tu, mbona unafanana na wimbo wa Zoba wa banana?
 
Back
Top Bottom