Kwa sababu walifuturisha WABUNGEPitapita yangu nikaona leo niangalie habari nikaona WCB wameitisha mkutano na kuanza kulalamika kuhusu nyimbo yao sijui inaitwaje ila video inaonesha kama kashfa ya imani fulani.
WCB sio mara ya kwanza mpaka kwenye chaneli yao kufanya hao na bado kupewa adhabu.
Tambueni kuwa mafanikio yenu yasifanye kuwa mnajua au kufanya jambo ambalo mnaona mgusi imani yenu.
Jifunzeni kwa Alikiba mwenye hekima sana na kwa nini hapendi video ambazo zinaweza kuleta utata
Nashangaa kweli na ule wizi unaendelea pale tanganyika pekers kawe nayo ni dini?Watu weusi tumekaza fuvu hao dini zinapotokea wanafanya scene za kidwanzi kuliko ile.
Ally Kiba ndio anapaswa kujifunza kwa Wasafi, sina haja ya kuandika mengi hadi Edo Kumwembe kaajiliwa na Wasafi, na wasafi ndio ndio Diamond.Pitapita yangu nikaona leo niangalie habari nikaona WCB wameitisha mkutano na kuanza kulalamika kuhusu nyimbo yao sijui inaitwaje ila video inaonesha kama kashfa ya imani fulani.
WCB sio mara ya kwanza mpaka kwenye chaneli yao kufanya hao na bado kupewa adhabu.
Tambueni kuwa mafanikio yenu yasifanye kuwa mnajua au kufanya jambo ambalo mnaona mgusi imani yenu.
Jifunzeni kwa Alikiba mwenye hekima sana na kwa nini hapendi video ambazo zinaweza kuleta utata
Kanisa tena sio kanisa tu bali kanisa namba moja linalojielewa. Limewapa ruksa kufanyia video kanisani na hawajavunja au kufanya jambo lolote baya.Hehe
sinza pazuri anakuja kutia nsno
Usipomtaja alikiba uzi wako hautasomwa?
Kanisa mbona video za mbele tunaona scene hzo na hakuna shida yoyote na ndipo dini hizi zilipotokea?
Kwani hapa bongo kuna padri alilalamika,waambieni hao mazwazwa wenzenu,WCB forever
Misikiti hawajaionaKenge mmoja, si wangeshutia msikitini wanakoabudia…. pumbafu sana.
Wameeaonea tu, mbona unafanana na wimbo wa Zoba wa banana?Pitapita yangu nikaona leo niangalie habari nikaona WCB wameitisha mkutano na kuanza kulalamika kuhusu nyimbo yao sijui inaitwaje ila video inaonesha kama kashfa ya imani fulani.
WCB sio mara ya kwanza mpaka kwenye chaneli yao kufanya hao na bado kupewa adhabu.
Tambueni kuwa mafanikio yenu yasifanye kuwa mnajua au kufanya jambo ambalo mnaona mgusi imani yenu.
Jifunzeni kwa Alikiba mwenye hekima sana na kwa nini hapendi video ambazo zinaweza kuleta utata
Umenifanya nikaangalie hiyo mgoma na ni kweli maudhui yanafananaWameeaonea tu, mbona unafanana na wimbo wa Zoba wa banana?
Wizi gani watu tunapona asb na mapema[emoji1]Nashangaa kweli na ule wizi unaendelea pale tanganyika pekers kawe nayo ni dini?
Wamekurupuka zipo nyimbo nyingi tu zina scene za kanisani. Mbona bongo movie nao kila siku wanaigizia kanisani mara wanapreach mara wanafunga ndoaWameeaonea tu, mbona unafanana na wimbo wa Zoba wa banana?
Wamewaonea tu...Sema ile kwaya ya dablyusibi walikuwa wanaimba kama kituko😆