Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Naona kabisa Lavalava kashindwa kufikia malengo ya waliomchukua.
Hata Mboso aliyemkuta tiyari kamuacha japo naona majuzi hapa jamaa kaamka, sexy mama ni ngoma Kali.
Sisemi ni msanii mbaya hapana, ila ni failed talent.
Sasa kama WCB mnataka kupata faida kubwa zaidi ya Lavalava na kurudisha faida. Nawapa hint mchukueni yule dogo wa Kenya MASAUTi,
Huyu dogo ni mmoja ya wasanii wanaokuja vizuri huko Kenya na East Africa, ana kama mwaka mmoja tu kwa game ila vibao vikali ,melody yake ni ya kibongo kabisa.
Kama hamtaki acheni endeleeni na huyo Lavalava wenu mtajuta sana kupuuza