WCB mchukueni msanii Masauti wa Kenya mtanishukuru baadae

WCB mchukueni msanii Masauti wa Kenya mtanishukuru baadae

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Naona kabisa Lavalava kashindwa kufikia malengo ya waliomchukua.

Hata Mboso aliyemkuta tiyari kamuacha japo naona majuzi hapa jamaa kaamka, sexy mama ni ngoma Kali.

Sisemi ni msanii mbaya hapana, ila ni failed talent.

Sasa kama WCB mnataka kupata faida kubwa zaidi ya Lavalava na kurudisha faida. Nawapa hint mchukueni yule dogo wa Kenya MASAUTi,

Huyu dogo ni mmoja ya wasanii wanaokuja vizuri huko Kenya na East Africa, ana kama mwaka mmoja tu kwa game ila vibao vikali ,melody yake ni ya kibongo kabisa.

Kama hamtaki acheni endeleeni na huyo Lavalava wenu mtajuta sana kupuuza
 
Kwan mkuu, hatuwezi mchukua huyo masauti na na tukaendelea kuwa na lava lava pia?? Maana umemkomalia mno lava kuondoka kulko hata huyo masauti kuja
You take it wrong tulia bwana mdogo hakuna ushabiki hapa
 
Kwan mkuu, hatuwezi mchukua huyo masauti na na tukaendelea kuwa na lava lava pia?? Maana umemkomalia mno lava kuondoka kulko hata huyo masauti kuja
Talents mbili zinazofanana uimbaji na style haiwezekani kuwa wote
 
Naona kabisa lavalava kashindwa kufikia malengo ya waliomchukua .

Hata mboso aliemkuta tiyari kamuacha japo naona majuzi hapa jamaa kaamka, sexy mama ni ngoma Kali,
Sisemi ni msanii mbaya hapana ,ila ni failed talent.

Sasa kama wcb mnataka kupata faida kubwa zaidi ya lavalava na kurudisha faida.
Nawapa hint mchukueni yule dogo wa Kenya MASAUTi,

Huyu dogo ni mmoja ya wasanii wanaokuja vizuri huko Kenya na east Africa ,ana kama mwaka mmoja tu kwa game ila vibao vikali ,melody yake ni ya kibongo kabisa.

Kama hamtaki acheni endeleeni na huyo lavalava wenu mtajuta sana kupuuza
Hivi lavalava anaimbaga kitu gani?

Hata Zuchu anabebwa tu
 
Ila msela umen'gan'gania Lava Lava alikugongea demu Nini?
Hapana mzee Nina mke sina demu Nina mke
Ni kwa manufaa mazuri tu wala sio nia mbaya huenda lava akapata sehemu nzuri zaid ya hapo
 
Back
Top Bottom