WCB mshaurini boss wenu, akiendelea kumuwaza Kondeboy atapotea

Mwandishi kuna kitu kina kuwasha...Toka dogo atoke #Platnumz aja ongelea ilo swala.ila naona ume Muongelea
Jua nawafahamu vizuri....hukumsikia kuwa nimesalitiwa na Jeshi pale iringa au mnajitoa akili
 
wewe lazima ulikua team kiba.
 
Mimi namuonya kaka asimuwaze sana dogo sio kumuombea adondoke ili dogo apande hapana afanye kazi na dogo afanye aache kumuwazia dogo mabaya mana ndio atapotea yeye
 
Kwan harmonize akimpta boss wake kunaubaya Gani ? So nimatunda kutoka WCB hatakama Diamond platnumz akishuka kimziki tayari kaacha alama

Kwan wewe umeacha alama gani kwenu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimezalisha wanawake 10 mtaani haraf nina miaka 28
 
konde bado hajafika level ya kaka yake hapo mtakuja kumuua mtoto wa watu kumtia kichwa sema kaka yake kachanganyikiwa mana konde ndie alitakiwa amuachie mikoba sema dogo kaondoka wamebaki waimba kaswida na uhindi pale
Mikoba gani alitakiwa akabidhiwe???
 
Mnakumbuka kuwajengea makazi mazuri wazazi wenu, huko mbwinde kijijini?.
 
Mimi namuonya kaka asimuwaze sana dogo sio kumuombea adondoke ili dogo apande hapana afanye kazi na dogo afanye aache kumuwazia dogo mabaya mana ndio atapotea yeye
Mi sijaona viashiria vyovyote vya konde kuwazwa na bos wake wa zaman.
 
Mnakumbuka kuwajengea makazi mazuri wazazi wenu, huko mbwinde kijijini?.
wakina sie wazazi wapo hapo KUNDUCHI ile unayoisikiaga mitandaoni na bibi na babu wamezikwa kinondoni...so tukuulize ww umekumbuka hilo jukumu kwa wazazi huko buselesele
 
Chini ya mendja jembe Ni jembe kachemsha na demu wakizungu atamkimbia, keshachemsha kwenye management nilifikili angekuwa na meneja Kama masterJ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…