henryloso15
JF-Expert Member
- Apr 1, 2018
- 209
- 164
mmakonde hajaja kushindana na mtu kaja kufanya mzikiKwanzia diamond kaanza Mziki yy anashindanishwa tu!! Alianza belle 9, Akaja Mavoko, Akaja Alikiba, Akaja Aslay na sasa Harmonize! Yani TBS ya mziki wa bongo ni Diamond !! Msanii yyte anayeonekana kufurukuta anafananishwa nae!! So Mmakonde ni wakat wake huu na utapita kama Wenzake wote!!! Just matter of Time!!
Acha wivu wakijinga ww katumia nguvu gani wakati alivyotoka WCB media zote zilimtaka na zinatamani afanye interview nao maana ukiwa WCB huwezi fanya interview media zingine kwakuwa wanatofauti na WCBkupata views 1m si tatzo, angalia nguvu kubwa aloitumia
Kweli ww ndio wa mwisho Rayvan anampita konde boy kwakipi labda konde boy Rayvan sio level yake ww Diamond mweyewe anajua anajua konde boy ndio anamuumiza kichwa saiz.Harmonize akimpita kwanza rayvanny ndo tutaamini kama anaweza kumpita diamond, note,hakuna msanii na hatotokea wa kumpita diamond.harmonize hata 1/3 tu ya diamond ajafika sembuse kumtetemesha?au kwa kuwa unajiita jina la kauli mbiu ya tigo fiesta levels baby(shoga),afu pia usimfananishe diamond (mbingu) na huyo ruge wako(ardhi) sawa.
Baelezee BaelezeeKweli ww ndio wa mwisho Rayvan anampita konde boy kwakipi labda konde boy Rayvan sio level yake ww Diamond mweyewe anajua anajua konde boy ndio anamuumiza kichwa saiz.
Kondeboy role model wake ni Diamond. Ona anavyoimba, anavyocheza na baadhi ya style ni za Diamond. Ukumbuke hao ni marafiki na siku zote watu wanaojua kutengeneza hela Konde na Diamond lazima wapande jukwaa kupiga show. Nyie mtabaki tuone nani mkali ndiyo hivyo watu wanatengeneza pesa dizaini hiyo.Mimi NASUBIRIA siku Domo na kondeboy I wafanye show the same city hapo ubish utaisha mana hapo atakayeuza ticket ndo yupo ju..mimi nafurah kuona vijana wanapiga PESA
Harmonize role model wake ni Diamond. Angalia nyimbo za Harmonize nyingi kuna baadhi anachukua kutoka kwa Diamondbinafsi napenda mafanikio ya harmonize japo to be objective, diamond ana uwezo mkubwa sana mbali kulinganisha na harmonize
Mziki gani wa kijinga,kafie mbele hapa ni diamond tu hizo garasa peleka hukowanahasira na mwanasingenge lakin mbona yeye yupo pouwa kabisa nao so wafanye mziki ndio uongee
Toa ujinga hapa harmonize anamzidi kipi rayvanny...??? Tuanzie hapo maybe miaka ya kuanza kuimba tuBaelezee Baelezee
Unaumwa dengue, sasa harmonize anampita rayvanny kwa kipi labda.......?Kweli ww ndio wa mwisho Rayvan anampita konde boy kwakipi labda konde boy Rayvan sio level yake ww Diamond mweyewe anajua anajua konde boy ndio anamuumiza kichwa saiz.
Pumbavu katumia nguvu na kupoteza hela kwa show za bure maana huu ni upepo wa kisulisuliAcha wivu wakijinga ww katumia nguvu gani wakati alivyotoka WCB media zote zilimtaka na zinatamani afanye interview nao maana ukiwa WCB huwezi fanya interview media zingine kwakuwa wanatofauti na WCB
Akafanyie chooni kwani tumemshika mikono UTUKOMEmmakonde hajaja kushindana na mtu kaja kufanya mziki
Kalale mjinga mmoja tu wewe eboooooohwakina sie wazazi wapo hapo KUNDUCHI ile unayoisikiaga mitandaoni na bibi na babu wamezikwa kinondoni...so tukuulize ww umekumbuka hilo jukumu kwa wazazi huko buselesele
Moyoni mwako umejaaa matuta mfyuuuuunapinga ww ndio upo moyoni mwangu
Kimejiunga juzi kiache bado kitoto kinatafuta likes na commentsSawa
Waambie kabisa wewe ni Tanasha. Unamuelewa Diamond in and out. Pia inaielewa WCB in and outKweli ww ndio wa mwisho Rayvan anampita konde boy kwakipi labda konde boy Rayvan sio level yake ww Diamond mweyewe anajua anajua konde boy ndio anamuumiza kichwa saiz.
Wewe shoga kabisa yaaani daaaaaaahNimezalisha wanawake 10 mtaani haraf nina miaka 28
Umeanza kumuiga diamond kwenye yope remix kweli wewe ni koloSi mlitaka show ndio tunawapa show
OK karibu but uache ushoga sawaWCB Baby