WCB mshaurini boss wenu, akiendelea kumuwaza Kondeboy atapotea

Mimi namuonya kaka asimuwaze sana dogo sio kumuombea adondoke ili dogo apande hapana afanye kazi na dogo afanye aache kumuwazia dogo mabaya mana ndio atapotea yeye
Ahaaaaaaaaaaah wakati hajafikia hata kwa rayvanny,ndo ampoteze king DIAMOND kweli unaumwa utapia mlo
 
Waambie kabisa wewe ni Tanasha. Unamuelewa Diamond in and out. Pia inaielewa WCB in and out

🤣🤣🤣🤣🤣 wabongo mnamaneno jamani 🤣🤣🤣🤣🤣 this comment made my day, 🤣🤣🤣🤣🤣
 

Nyimbo alitoa rayvany ni nzuri zaidi ya hiyo uno basi tu harmonize bado watu wanaongalia hiyo nyimbo walikuwa wanataka wajue kafanya nini ila kwang mimi uno ni nyimbo mbaya
 
kwa nguvu aloitumia kuzunguka east africa nikadhan uno itafikisha hata views zaid ya 5m bt kumbe alikua akitafta huruma ya wananzengo tu,
mjiulize kama akitoa ngoma bila kufanya hivo kama rayvany hizo views 1m atafikisha???
anahtajika kupambana zaidi na si kuwaza kumzidi mondi
 
Umeongea pumba, hakutatokea Mtu Mpuuzi kuliko wewe karne zote mpaka kurudi kwa masiha.
 
unaijua million 1 kwa audio tu muulize hata huyo rayvanny kama amewah pata hata ndani ya miez miwili
 
Acha wivu wakijinga ww katumia nguvu gani wakati alivyotoka WCB media zote zilimtaka na zinatamani afanye interview nao maana ukiwa WCB huwezi fanya interview media zingine kwakuwa wanatofauti na WCB
Mwambie ile ni Audio sio video ambazo zina boostiwa tu
 
Diamond ni genius nyie yupo kibiashara na anajua mbinu za ela hayo aloyafanya Jana ni moja ya njia mpka Leo hamjamuelewa tu yalofanywa Jana ni kuizima ngoma ya uno midomoni badala yake mdiscuss hili tunalofanya sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…