WCB mshaurini boss wenu, akiendelea kumuwaza Kondeboy atapotea

WCB mshaurini boss wenu, akiendelea kumuwaza Kondeboy atapotea

Kiba mlimuonea sabb mpole sasa mmekutana na misifa ndio nyumbani kondeboy ko mtulie ndio muda wake huu bakini na hao hao waimba kaswida
wallah mtoto na sifa yule kamzidi ata Dully mwenye cheo chake,kha!wale mbona wamwyagalambua
 
Kumbe ruge aliwahi kua meneja wa diamond? hebu mtoa mada achana na dhana ya nani apande nani ashuke, kila mmoja na ridhiki yake.Kila maumuzi yana matokeo yake hasa upande wa muamuaji,Hivo anaweza nufaika au kuangukia pua kwa maumuzi yake,Pato alilokua akiingiza konde aliwez kudhuru wcb kwa namna yoyote ile. Lakin usisahau mbio alianzisha diamond kisha konde akajiunga njiani, hivo konde kubadili njia na kuendeleza mbio kwa njia yake hakulet tofaut yoyote kwa chibu na jogging yake, kinyume chake ingemuathir konde boy.Mimi yangu macho
 
Kwan harmonize akimpta boss wake kunaubaya Gani ? So nimatunda kutoka WCB hatakama Diamond platnumz akishuka kimziki tayari kaacha alama

Kwan wewe umeacha alama gani kwenu? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona upepo wa kosulisuli unampitia mzee wa kujimwambafai Konde....saaaga

Team WcB4life
 
Diehard fans wa Diamond sijui ni kwanini wamechukizwa sana na Kondeboy kutoka WCB..wamebaki kusubiria aanze kupauka kama Rich Mavoko..kitu ambacho hakiwezi kutokea

UNO audio tu tayari 1m+ stream on youtube..

Tuache uchawi..Diamond afanye kazi aendelee kuwa juu,na Harmonize naye aendelee kuwa juu na hata akimpita Diamond iwe ni ishu ya kawaida
wanahasira na mwanasingenge lakin mbona yeye yupo pouwa kabisa nao so wafanye mziki ndio uongee
 
Muda utaongea tu ,uzuri jamii forum thread huwaga hazifutwi,ila mnajutengenya na kucheka wenyewe,#levels baby naona mmeamua kwenda Mtwara.
Mtasubiri sana kwa mmakonde yule nguvu iliyonyuma yake sio ya richmavoko ile hata nyie mnaweza potezwa
 
Mimi NASUBIRIA siku Domo na kondeboy I wafanye show the same city hapo ubish utaisha mana hapo atakayeuza ticket ndo yupo ju..mimi nafurah kuona vijana wanapiga PESA
konde bado hajafika level ya kaka yake hapo mtakuja kumuua mtoto wa watu kumtia kichwa sema kaka yake kachanganyikiwa mana konde ndie alitakiwa amuachie mikoba sema dogo kaondoka wamebaki waimba kaswida na uhindi pale
 
kupata views 1m si tatzo, angalia nguvu kubwa aloitumia
Mond na ukubwa wake bado anatumia nguvu kuipush ngoja....unataka konde aende kimyakimya kawa kiba yule


waambie watulie wamemfundisha wenyew njia zote so acha dawa iwaingie
 
Harmonize akimpita kwanza rayvanny ndo tutaamini kama anaweza kumpita diamond, note,hakuna msanii na hatotokea wa kumpita diamond.harmonize hata 1/3 tu ya diamond ajafika sembuse kumtetemesha?au kwa kuwa unajiita jina la kauli mbiu ya tigo fiesta levels baby(shoga),afu pia usimfananishe diamond (mbingu) na huyo ruge wako(ardhi) sawa.
Tulieni kitoto kiwanyweshe dawa mana mnapanic sana dogo kawaambia hatak ugomvi na nyingi bado mnamtafuta sasa jiungeni wote pamoja na waimba kaswida wenu dogo awaoneshe show.


sasa tunajua kwa mziki na ukubwa dogo hamuwez mond..ila mond halali sabb njia zote alishamfundisha dogo so watagawana tu nguvu muda ukifika
 
Vibakuli bhana...!!
Mnatangatanga sana.
 
Ahaaaaaaaaaaah acha kula bangi mbichi wewe kilaza wa mawingu fc,yaaani harmonizeQUOTE]Tulionyuma tunajua kaka yako alivyomsumbua jux watoe ile nyimbo baada ya kuona mameneja wake wamemkatalika kutoa ngoma kabatini kwa kuhofia Uno
 
Back
Top Bottom