WCB na mikataba ya ajabu: Ndio maana muziki wa Tanzania hauendelei

Wapi nimesema Diamond hana maana?

Mikataba mikataba mikataba
We nae sijui unatokea uko kusini!! mbona uko nyuma sana mzee kama msanii yuko vizuri sidhan kama atababishwa na iyo 15 ukizingatia anaingia kwenye label hajui lolote zaidi ya kuwa na sauti ya kuimba apo wakuandae ukae sawa itachukua mda sana then uanze kutoa ngoma zikubaliwe nayo itachukua mda sana mpaka aje kusimama vizuri lazima ichukue mda yo miaka 15 umeona ni mkataba mkuubwa syo? basi asinge saini tuone kama ungemjua
 
Watajua wapi?

Mikataba ya wenzetu haiwabani kuwa lebo zao ila hapa bongo unapigwa ban hata kufanya collabo na msanii fulani na fulani.
Wewe pamoja na uyo anae saini mkataba kwa kukubana wote akili zenu zpo kwenye makalio...utasaini vpi mkataba kama unajua unakubana?
 
Leo ndio nimejua kuwa waswahili hawana shukrani.
Leo hii kumpa mtu mkataba mrefu ikawe ni kosa?
Kwa hyo kumbe ni bora angemuacha akawe muokota korosho umakondeni ndio mngemshukuru Diamond na kumuona ni mtu mzuri?
Kwa hili aisee mungu atamlinda Diamond na mtapata aibu kubwa sana.
ANGALIZO:
Wale mnaomshabikia harmonize kwa ulimbukeni wake msije kugeuza gia angani na kumgeuka baadae pale atakapoangukia pua.
 
Safi umenena vizuri mkuu
 
Hapo ndipo lilipo tatizo, hutakiwi kuinvest kwa mtu bali kazi zake. Mkataba unatakiwa uwe wa kusapoti kazi zake na si kumsapoti yeye sababu unapoinvest kwa mtu unatumia gharama kubwa unnecessary.
Kwaio unampangia mtu namna ya kuandaa mkataba?
 
Wapi nimesema wcb walikuwa hawawekezi kwa harmo?

My point ni kwamba wanatumia nguvu kubwa kumpromote mtu wakat wanachotakiwa ni kazi za msanii ndio zijipromote.
Wewe mziki huujui Justin Bieber wakati anatoka kulikuwa na mtu ana deal na image na style ya nywele zake,sasa jiulize walikuwa wana promote kazi yake au mtu.

Kwenye mziki kumpromote mtu na kazi yake vinaenda parallel na kama hujui wenzetu ulaya wanatengeneza mpaka KIKI,wakati Nick Minaj anatoka,YCMB walivumishwa anatoka na Drake ili wampromote Nick kumbe ilikuwa uongo.

Usifanye masiala kumtengeneza na kumpromote msanii mpya ni kazi na gharama sana,wenzetu ulaya wana ichukulia kama project.Hata yale mahusiano ya Wolper na Harmonize yalikuwa KIKI ,lkn hawakuwa na mahusiano yoyote.
 
Unajielewa kweli mzee?
.
Def jam recording label ni kampuni tanzu ya EMI virgin recording na inafanya kazi worldwide, sasa unaposema ina kesi na Kanye west una maanisha nini?
.
Ro- A -fella-records wanafanya kazi chini ya def jam ndio maana records kibao za Roc fella ni lazima def jam watahusika.
Mfano album ya tano ya Kanye west "My beautiful dark twisted Fantasy" iliandaliwa na records label zote mbili na msambazaji anakuwa mmoja tu nae ni def jam.
.
Haya eleza kesi gani wako nayo Universal music group na Kanye west kwa sababu mpaka sasa nachokijua ni kwamba EMI iko chini ya universal ilishanunuliwa na kuna makampuni mengine manne pia.

...
.
 
@Khaligraph Jordan pita hapa upate kuelewa mikataba ya wenzetu inavyokuwa sio unabisha tuu with no evidence.
Unajielewa kweli mzee?
.
Def jam recording label ni kampuni tanzu ya EMI virgin recording na inafanya kazi worldwide, sasa unaposema ina kesi na Kanye west una maanisha nini?
.
Ro- A -fella-records wanafanya kazi chini ya def jam ndio maana records kibao za Roc fella ni lazima def jam watahusika.
Mfano album ya tano ya Kanye west "My beautiful dark twisted Fantasy" iliandaliwa na records label zote mbili na msambazaji anakuwa mmoja tu nae ni def jam.
.

...
 
Unajielewa kweli mzee?
.
Def jam recording label ni kampuni tanzu ya EMI virgin recording na inafanya kazi worldwide, sasa unaposema ina kesi na Kanye west una maanisha nini?
.
Ro- A -fella-records wanafanya kazi chini ya def jam ndio maana records kibao za Roc fella ni lazima def jam watahusika.
Mfano album ya tano ya Kanye west "My beautiful dark twisted Fantasy" iliandaliwa na records label zote mbili na msambazaji anakuwa mmoja tu nae ni def jam.
.

...
.
Muache utani hata Michael jacko akifufuka leo hii ataendelea kuwa under EMI
 
Povu la nini Mzee; najua Tanzania tuna vipunga wengi sana wa aina yako wasiosoma mambo bali hudandia tu. Hata hivyo angalau ungesoma hilo document nilioambatanisha hapo ambalo limetoka kwenye kumbukumbu za Mahakama kuu ya California. Usipingane na mimi bali lisome tu document hilo; ni hili hapa
 
Umeongea vizuri mkuu,
 
Punguza kuongea vitu usivyovijua, usiruhusu hisia na ushabiki vikuamulie nini cha kuandika acha akili ikifikirie kile unachotaka kukiandika kabla ya kuandika.
 
Sallam Mendez kakanusha / Hakuna msanii mwenye mkataba wa 15 WCB
 
Uzi mrefu lakini wote ni trash[emoji706][emoji706]
Watanzania tujifunze kusoma..

Ndio maana watu waliwahi kusema ukitaka kuficha pesa bongo iweka kati kati ya kitabu kisicho na picha..utaikuta kama ilivyo.

Sasa huyo mayonaiza hakuona mkataba au alisign akiwa kalewa
 
Mimi kipunga wewe ndezi kubi.
.
Eti wasiosoma mambo bali hudandia unadhani link niliyoitoa huo uamuzi umetolewa na madiwani?
Mahakama ya New york city federal court imeamua Kanye afanye muziki kwa maisha yake yote kwa sababu ya mkataba alioingia na EMI bado ni valid.
.
Kanye West's EMI Contract States He's Not Allowed to Retire

West's EMI publishing contract, currently at the center of a wide-ranging lawsuit, states that West will "remain actively involved in writing, recording and producing Compositions and Major Label Albums, as Your principle occupation." Furthermore, West must "at no time during the Term" initiate a retirement from those occupations or take an extended hiatus in which he's not actively carrying them out.

This wording was revealed thanks to the latest move in the dispute from EMI.
 
Punguza kuongea vitu usivyovijua, usiruhusu hisia na ushabiki vikuamulie nini cha kuandika acha akili ikifikirie kile unachotaka kukiandika kabla ya kuandika.
Hisia wakati ndio ukweli mwenyewe,kijana naijua Tasnia ya Bongo Movie kuliko unavyozani,kwani nipo nao karibu sana na najua kila kinachoendelea sizungumzi kumfurahisha mtu Music is Bussiness ambayo inahitaji mbinu ili kuikuza biashara yako,acha KUKURUPUKA KWANI HATUJUANI.

Najua detail nyingi za Wolper na kuna nyingine nikiziweka hapa nitakuwa namdhalilisha yy na mwanamke kiujumla.

Kama ulizani Drake na Nick Minaj au Mbosso na Queen Darleen au Harmonize na Wolper walikuwa wana date basi futa hilo akilini mwako,hayo mahusiona yalikuwa mbele ya TV na Social Media ili kutengeneza KIKI na biashara zifanyike watu waingize hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…