WCB na mikataba ya ajabu: Ndio maana muziki wa Tanzania hauendelei

We ni Mpuuzii...Hujui Chochoto kuhusu Mikataba ndio maana mnafanana na hyu Harmo
 
WCB waliona na walisha jua Atafika apo alipo na bado kuna long way to go ndio maana wali invest...uyu bwege alikua hajui chochote saiv ndo anajikuta mjaaanja asa ngoja
 
Najaribu kushangaa Leo wanaoona Hamo kutaka WCB ni kosa wakati hata huyo Mond alitoka sehemu na tukashangalia kabisa kuwa ni Bora walikuwa wanamnyonya nikwambie vijana wenzangu anayeijua tamu au Chungu ya ndoa ni Yule aliyemo kwenye ndoa kwa hiyo Hamo anajua kwanini ameamua kuondoka hapo
 

Neno HATUJUANI ndiyo jambo la maana zaidi uliloandika hapo juu, hayo mengine ni porojo za kujifanya unajua usivyovijua, na kama tungekuwa tunajuana usingeweza kuandika hicho ulichokiandika.
 
Ni sawa na kupigika na njaa halafu uone sahani ya chakula. Utakula tu, hata kama sio favorite yako. Unaamini usipokula njaa itakuua. Baadae ukizoea mazingira ukajua pa kujitafutia lazima ule unachokipenda sio unachokiona.
 
Kama ni hivyo kwanini mtoa mada analalamika harmo kupewa mkataba wa miaka 10 na WCB? je angepewa mkataba wa maisha huyu mto
Ulichojibu na jamaa alichoongea ni vitu viwili tofauti mwenzako ana ongelea mkataba ambao mtoa mada anasema wa kinyonyaji ndo jamaa anasema Kama muhusika ameusaini yeyemwenyewe kwann alaumu uongozi wa Wcb? wewe unaongea kuondoka
 
Neno HATUJUANI ndiyo jambo la maana zaidi uliloandika hapo juu, hayo mengine ni porojo za kujifanya unajua usivyovijua, na kama tungekuwa tunajuana usingeweza kuandika hicho ulichokiandika.
Hata wewe tungekuwa tunajuana usingeandika ulichokiandika hapo.
 
Mimi wakusoma shule za kata? Goddamn 😠
.
Case ya Kanye aliyoifungua yeye mwenyewe apate uhuru kutoka kwa EMI (California) under labour code 2855 which mandate kwamba mtu atakuwa na mkataba wa huduma with a maximum 7yrs akitumia kigezo cha he's aforementioned contract since 2003.
.
Unajua kwaninu case ilipohamia New york alishindwa mr broke?
.
He was in love with the yte gaze, also it explains why he released scoop diddy woop.
He got no OG contract EMI got it that why they won a case stop talking oldest shi.t's here.
.
Kanye has it forever
 
Mkuu wale mashabiki wa kiba eti leo ndo wamekuwa mashabiki wa kundeboy. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mazezeta kweli
 
Naona siku hizi baada ya kutoka kwa Mange kimambi mpo na Mwijaku.....!
 
Mkuu hao wanamsikiliza Mwijaku unategemea yule jamaa ataongea zuri kutoka dabuliusibii?
 
Nominations amepata kama zote eboooooh gubu litakuuua shubamit!!!
 
Sijui wewe unapata wapi habari zako; unaandika pumba kweli na tena hujui unaloandika. Kesi zenyewe hazijaamuliwa bado ziko mahakamani halafu wewe unakurupuka eti alishindwa New York. Leta basi hiyo hukumu ya New York utuonyeshe hapa.

Malamiko ya EMI dhidi ya Kanye hapo US District Court Southern New York ni haya.

Kesi zilizokwisha tolewa hukumu na mahakama hiyo ni hizi hapa

Sasa wewe umetoa wapi hukumu yako kama siyo mambo ya kijiweni kutoka shule za kata
 

Attachments

Mkuu acha kupambna na mapoyoyo.

Nguvu zako bora uzitumie kwenye vitu vya msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…