WCB na mikataba ya ajabu: Ndio maana muziki wa Tanzania hauendelei


Naomba nikusahihishe kuhusu kupugwa risasi kwa tupac na kwenda kulazwa hospital ilikua sio issue ya BIG Notorious bali kuna mtu mwingine aliekua rafiki wa 2pac na ndo aliemfanyia issue ya ubakaji kwa kumtengenezea zengwe tafuta vizuri story kamili
 

Hakuna msanii yeyote wa WCB aliye sainishwa mkataba wa miaka 15!
 
Nashangaa sana wanaomponda diamond hivi harmonize angesimamiwa mkubwa fela hali yake ya kimaisha ingekuwaje
 
Naomba nikusahihishe kuhusu kupugwa risasi kwa tupac na kwenda kulazwa hospital ilikua sio issue ya BIG Notorious bali kuna mtu mwingine aliekua rafiki wa 2pac na ndo aliemfanyia issue ya ubakaji kwa kumtengenezea zengwe tafuta vizuri story kamili
Mkuu siku kitendo cha ubakaji kilichokuwa kinafanywa na Suge Knight alikuwepo na BIG notorious kwenye ile hotel na kumbuka wakati huo BIG alishaanza kuwika sanaaa yani alikuwa rafiki rival wa 2pac.
.
Ukweli halisi mpaka sasa haujapatikana ila kuna asilimia 90 za kuamini kile kitendo kilifanywa na BIG
 
Get lost, i have no time to argue with your shits.
.
Go argue with your fellows stupid
 
Ndio maana anasaini wasanii kwa mikataba ya kibeberu sana, sababu anajua lazima itafika muda watampiku tuu.
Acha mawazo ya kimaskini wewe! Kuna label ngapi duniani ambazo zinaongozwa na kumilikiwa na wasanii?! Au hata hapa Tanzania kuna label ngapi zinamilikiwa na wasanii?! Hivi huyo Diamond asimuogope Mavoko ambae tayari alishakubalika halafu aje kumuogopa Harmonize ambae alimsaini wakati hajulikani na yeyote nje ya circle ya Diamond mwenyewe!

Btw, unamuogopaje mtu halafu unampa mkataba mrefu ambao unajua kabisa ataendelea kukukalia kooni muda wote huo?!
 
Mikataba ya namna hii ni mibovu kwa sababu inamgeuza msanii husika kuwa mwajiriwa wa lebo husika. Yani mkataba unakuwa haumruhusu kujiendeleza yeye kama yeye bali kuiendeleza lebo.
Huwa wanalazimishwa kusaini?
Anzisha lebo yako kama unaona ni kazi nyepesi au anzisha kampuni ya kuwafanya kila msanii ajitegemee peke yake
Gharama za kumnyanyua msanii kama harmonize zilikua ni kubwa mno,zaidi ya milioni 500,mavazi,usafiri,malazi,chakula na ku mbrand
Msione vinaelea tu,
 
Kwanini iwe kosa?! Tatizo ni twisting! Kwa mfano, mleta mada na wengine wengi tu wanadai eti Harmonize anabaniwa kwa sababu there's no way anaweza kuachwa ampite Diamond!!!

Lakini ukichunguza kwa makini huchelewi kufahamu kwamba hao sio mashabiki wa Harmonize wala WCB na ndio maana hawafahamu lolote kuhusu Harmonize na WCB!! Na wala usishangae ukikuta ni mashabiki wa KIba ambao wao ni ada kwao kumdandia kila anayeonekana kuwa mshindani wa Diamond!!

Fanya uchunguzi wako binafsi halafu njoo hapa utoe ripoti ni msanii gani WCB mbali na Diamond mwenyewe aliyefanya collabo nyingi na wanamuziki wa nje!!!! Fanya utafiti wako mwenyewe kisha uje hapa utuambie kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita, ni nani kati ya Diamond na Harmonize aliyetoa ngoma nyingi kuliko mwenzake!! Hata mwaka huu Harmonize ka-release nyimbo nyingi kuliko Diamond! Lakini mtu anakuja hapa anasema eti ni lazima aondoke kwa sababu anabaniwa kutoa ngoma!!!

Kwa kifupi Harmonize ana haki ya kusepa na kwenda popote lakini watu wasi-twist mambo! Hata ukisoma hilo gazeti la The Citizen ambalo mleta mada ametumia kama reference, kuanzia neno la kwanza hadi mwisho wametumia neno "rumors"! Yaani hata gazeti lenyewe halina uhakika na mkataba wa Harmonize !! Ajabu ya mwandishi, ameshindwa hata kutumia ule uongo wa kawaida wa kiandishi kwamba "amejaribu kuwasiliana na Harmonize au mwanasheria wake ili ku-comment lakini hawakupatikana!" Yaani mwandishi anaandika habari kwa kutumia rumors ambazo zinaweza kuwa verified!!!
 

Hivi mkuu unadhani msanii akiwa mbele ndio anakua na akili saaaaana....wao pia mapopoma tu, sometime wanaingia katika mikatabata sababu ya tamaa.

Mtu ukute mkataba wake unampa mambo mazuri ambayo hana na ukite haja engage lawyer wa kumshauri unakuta kaingia kichwa kichwa tu lakini baadae akija kuanza kuyasikilizia maumivu ndio fahamu zinamtudi.

Kanye mwenyewe anamikesi kibao ya kupinga hiyo mikataba yake.

Kwa hiyo mikataba ya kinyonyaji hata hao wasanii wa duniani huko wanaiingia sana maana hata wao ni ndezi vile vile. Hivi unahisi KONDE Boy angekua kama alivyo leo angekubali kusainishwa 15yrs? Ile ilikua pressure ya uhumu wa maisha na zile ahadi alizoahidiwa akaona hapa ndio penyewe na hii haiondoi haki sasa ya kupinga huo unyonyaji.

Period
 
Mkataba wa harmonize ni miaka 10 na sio yeye tu aliyesaini hata mboso, Lavalava na Ravanny nao wana mkataba kama huohuo hata aliyeondoka mavoco.
.
Kitu kinachokujaga kuleta migogoro ni kuona na mimi I CAN wakati huna kitu unatafuta pakutokea unapewa mkataba usome na una ahidiwa kufanya makubwa kwanini usikatae?
.
Harminize ana mkataba ambao hauishi ndio maana nilitoa mfano wa EMI na Kanye yani ni sawa na mikataba ya mpira ataenda koteee ila klabu iliyomtoa ina fungu lake.
.
Una habari Samatta hata akienda R.madrid Simba, african lyon zina pesa yao pale?
 
Hapa tunaongelea mada husika iliyopo mezani.
Habar za Mimi kufuatilia mada zako za nyuma huo muda sina.
Jadili kulingana na mada husika iliyopo mezani,na katika mada hii hauko peke yako wanaojadili ni wengi kwa ni lazima nitoe majibu ya kiujumla kuwajumuisha wote.
Siwezi kumquote kila mtu aliyechangia mada itakuwa ni uharibifu wa kujaza space humu Jf.
 
Hapo nakuunga mkono moja kwa moja, sometimes tamaa ndio zinafanya mtu aingie mkataba kwa kukurupuka ndio maana hata Mavoko alivyoona kwamba mkataba haumfai akaamua kuondoka vijana wengi wanachiwaza ni kuwa gari na kuishi nyumba nzuri akikuta mkataba unapewa gari na kukodiwa nyumba basi anaingia kusign bila kujua unaweza kukodiwa nyumba miaka yote na gari mwisho wa siku mkataba unaisha unatolewa kwenye nyumba na umaarufu wako wote umeisha.
Na sisi mashabiki tunafurahia tu kwamba umaarufu wa msanii pasipo kujua kuwa nae anatakiwa ainvest aweze kujitegemea ndio maana wengi wanaopinga hapa jamaa kutoka wanasema atapotea bila kujua kwamba huko alipokuwepo alifaidika na nini zaidi ya umaarufu na kufanya kolabo za nje hata kina Ray C walifanya kolabo na wasanii wa nje kina AY japo hayupo wasafi alikua ndio msaanii wakwanza kutoka kuanza kufanya kazi na wasanii wa Kenya ambao ndio walikua juu kipindi na pia msanii wa kwanza kufanya kolabo na Msanii wa wamarekani.
Hii ndio tulikuja kuona pale marehemu Kanumba anafariki anawatu wengi wanapenda movie zake na umaarufu wake bila kusupport kazi zake hadi anafariki hajaweza hata kuwa na nyumba yake yakuishi.
 

Kwa samatta mkuu ushaingia chaka wacha tusiendelee nako, inabidi ukasome upya na kama unaushahidi weka hapa.

Simba haki yao iliishia pale Samatta alipotua Genk. Makubaliano yalikua endapo Mazembe watamuuza Mbwana team yoyote ile lazima wapate nao mgao kidogo. So usije ukategemea kama Genk itamuuza Mbwana eti Simba watapata kitu. Na generally inaonyesha mikataba ya football huijui vizuri. Eti club itakayo kutoa lazima ipate kitu katika kila transfer yako?
 
Elewa kuwa mada hii ina wafuasi wa wanamuziki wahusika pande zote mbili, na vile viile ina wafuasi wa mambo ya sheria za mikataba ambao siyo wafuasi kabisa wa wanamuziki wahusika. Nilichokuambia ni kwamba nijibu mimi, usisema unatujibu sisi kwa vile hujui mimi ninafuatilia mada kwa msingi wa sheria za mikataba lakaini wewe unanifanya kama mmoja wa mashabaiki wa kudini mojawapo. Kama unataka kutoa jibu la jumla usi-niquote mimi, jibu plainly.
 
Muone huyu kajadiliane na wanao huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…