WCB ndio imeshikilia Bongo Fleva kwa sasa, very creative label


Kwanza jua Tanzania ina wanamuziki wengi sana, mno, wengiiii sana yaani

Tanzania kama dunia ya tatu bado wanamuziki wake wengi ni wadogo, wasafi media inamilikiwa na na mmiliki wa clouds (sema kwa ujinga wako haujui)

WCB sio muarobaini wa kuinua wanamuziki wengi kama clouds walivyofanya kwa miaka 20 iliyopita. Sasa hapo ndio tunasema akili ndio zinapoanzia

Wcb wanafanya vizuri sana, mno...lakini haiondoi ukweli kuwa uweze ku diss kuwa wengine wamewekeza kidogo.ndio uwezo wao halisia

Akina Rayvanny, lavalava wana mikoko gani ya maana unaijua? Wana nyumba gani za maana tusijue? Na kwa akili zako hauoni ni matangazo na kiki tu kuona wanazo nyingi?

Sijasikia diamond ana private jetty au nyumba ambayo DSM itashtuka!!! Haipo, tusingelala


So msifie diamond kwa mahaba yako, ila usidharau wengine

Uwekezaji mziki TZ ambao waliweza kutufukisha hapa ni clouds...ambao walifukuza wakongo wakavunja ngome za wahindi na kuleta taarabu na bongoflava.....hii ambao unaijua wewe!

Uwekezaji wa label TZ bado sana kwa label zote.

Unamfahamu Hamadai wewe? Kusah, ibrazoma? benson? Ndelah? Magic? Unamfahamu six one? Ukitaka kufaidi muziki na kujua nje ya box lako la wcb fuatilia hilo na weka strategy unawezaje kukusanya na kuwaweka sawa hawa wote

Diamond hata afanye nini hawezi mfikia Hamadai, six one, ndelah na wengine wengi...lakini ndie unamjua...ndio muziki ndio biashara sio? Lakini wewe kumjua na kumsifia diamond hakuwafanyi hawa wengine kuwa takataka

Nimeona unataja label nne tu, Tanzania we are rich of young and old artists...wengi mno, get time uwajue usipitwe na miziki yao mitamu

Ukiuliza kwa nini Ibrazoma hajulikani...utagundua kuna mengi ya kufanya kuliko kuwa na mahaba na wcb tu

Namalizia kwa kusema wcb ni label nzuri kwa jina ila bado haijafanikiwa kuwafanya members wake wafaidike nayo

Yaani inawezekana wewe unaipenda sana wcb kuliko rayvanny
 
Achana na hawa vijana chawa job less
Clouds wana nafasi kubwa mpka walipoufikisha mziki hapa.
Sasa hiyo kima inasema eti walitaka kuuwa mziki..!
Mbona wameshindwa kumfikisha Kiba walipo WCB licha ya kumpa support muda wote? Ifike mahala juhudi binafsi za mtu zikubalike.Na bado wanatumia nguvu kubwa sana kumshusha Mond Ila ndo hivyo wameshachelewa,juzi kimetoka hicho kijinyimbo Mediocre wamekipamba, wakamfanyia interview Kiba kumdhihaki Mond,bado unasema Wasafi ni mtoto wa Clouds πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…