Kwani clouds Ni record label?Eti unajifanya huelewi ..hahah
Wcb imeanzishwa lini na clouds lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani clouds Ni record label?Eti unajifanya huelewi ..hahah
Wcb imeanzishwa lini na clouds lini?
Mimi huyo aukwa huku kidogo panakufaa
kama King music au sio???ongezea na sifa hii lable imekaa kingono ngono Sana'a hasa boss wenuu
yes, kule kwingine hasa MMU mada zako huonekana za kitotoMimi huyo au
[emoji23][emoji23]amna mi naweza kila sehemu sema tu washazoea utoto ndo maana hawacomment Ila majukwaa yote nawezayes, kule kwingine hasa MMU mada zako huonekana za kitoto
Ni zaidi ya record label kumbe hujui uliza wajuvi clouds sio media tuKwani clouds Ni record label?
Imetoa msanii gani akawa level ya kufanya vizuri Africa?Ni zaidi ya record label kumbe hujui uliza wajuvi clouds sio media tu
Hakuna kitu Kama icho, usirudie kuwa mtumwa wa fikra. Sasa unaweza kueleza iyo njia inachongwaje kiupendeleo hivyo tena ili wapite mahasimu wao ?Clouds inachonga Barabara hao wanapita tu
Mondi mwenyew anajua nyie mashabik hamjui kituHakuna kitu Kama icho, usirudie kuwa mtumwa wa fikra. Sasa unaweza kueleza iyo njia inachongwaje kiupendeleo hivyo tena ili wapite mahasimu wao ?
Eti unajifanya huelewi ..hahah
Wcb imeanzishwa lini na clouds lini?
WCB(Wasafi Classic Baby)nadhani nikisema hivyo kila mtu anaelewa.
WCB nadhani kwa sasa ndio label iliyoshikilia industry ya Bongo Fleva hawa watu wako very Creative na Wanafikra yakinifu. Tena isitoshe tu kusema ni label namba moja Tanzania bali hata Afrika inajizolea umaarufu kwa sasa.
Label Ina combination ya wasanii wenye majina makubwa Kama vile;
Diamond Platnumz (The C.E.O)
Rayvanny
Mbosso
Zuchu
Lava Lava
Zipo fununu pia zinasema Hanstone aliyeshirikishwa na Maua Sama kwenye ngoma ya Iokote naye yuko WCB anasubiri utambulisho tu.
Label hii Ina wasanii wachapakazi haswa ikiongozwa na Diamond Platnumz.
Wamejizolea mashabiki wengi sana East Afrika na Afrika kwa ujumla kiasi kwamba kila msanii anayepita hapati wakati mgumu sana kuizoea na kuendana na Game.
Mashabiki wa WCB wako very supportive sana na wana mapenzi ya kweli na label yao.
Ukiacha hivyo wasanii wao wana majina makubwa tayari hivyo hawatumii nguvu kubwa kupromote mziki wao.
Ukizungumzia trends na talk of the town bongo (Kiki za Mitandaoni)hawa jamaa ndo kwao kabisa hata wasipotoa nyimbo wanabaki kuongelewa na mashabiki muda wote kwa sababu ya drama zao za kimtandao.
Ni ngumu kwa label nyingine kushindana na hawa jamaa. Clouds Media na media nyingine zilijaribu kuua mziki wao kwa kuacha kupiga nyimbo zao Ila kwa nguvu ya mashabiki zao nyimbo zao zilikuwa zinapeta kitaani kama kawa watu walikuwa wana download na Ku stream Kama kawa.
Ukiangalia WCB iko full oriented sio Kama label nyingine Ina departments za kusimamia kila mahali
For instance
1.Social Media Department
2.Artists Managers
3.Directing Team
4.Music Department.
Lakini pia uanzishwaji wa kituo cha Wasafi Media umeongeza chachu na ufanisi kwa label kwa sababu kazi zao sasa zinapigwa bila masharti na kwa vyovyote vile mpenzi wa Wasafi Media asiye mpenzi wa WCB ataanza kuvutiwa nao tu.
Mwisho nimalizie kwa kutaja label nyingine ambazo binafsi naona bado zinatania katika uwekezaji
1.Kings Music(Alikiba)
2.Konde Music Worldwide (Harmonize)
3.African Princess(Nandy)
Hata hivyo hawa jamaa kwenye upande wa Ku shoot Video wako very serious ndo maana video zao zina quality na ni nzuri.
Wanajua kuimba nyimbo za miondoko yote Singeli,Mapenzi,Club Banger na wanatisha.Hakuna label itakuja kuifikia WCB kwa uwekezezaji walioufanya na kwa Hardworking spirit waliyonayo.
Kweli😂😂Ninachokisifu wcb ni kuwa na uwezo wa kuwashika vijana kama wewe kuifanyia promo bila malipo
Aisee 😂ongezea na sifa hii lable imekaa kingono ngono Sana'a hasa boss wenuu
Kmmk 😂yes, kule kwingine hasa MMU mada zako huonekana za kitoto
Leta hoja siyo habar za mondi mwenyewe anajua ulishakaa nae akakuambia hivyo? Au una assumeMondi mwenyew anajua nyie mashabik hamjui kitu
Ila Kama Una copy na unapata hela shida iko wapiKiwango kikubwa sana cha copy and pasteView attachment 1584060
Mbona wameshindwa kumfikisha Kiba walipo WCB licha ya kumpa support muda wote? Ifike mahala juhudi binafsi za mtu zikubalike.Na bado wanatumia nguvu kubwa sana kumshusha Mond Ila ndo hivyo wameshachelewa,juzi kimetoka hicho kijinyimbo Mediocre wamekipamba, wakamfanyia interview Kiba kumdhihaki Mond,bado unasema Wasafi ni mtoto wa Clouds 😂😂😂😂Achana na hawa vijana chawa job less
Clouds wana nafasi kubwa mpka walipoufikisha mziki hapa.
Sasa hiyo kima inasema eti walitaka kuuwa mziki..!
Ila Kama Una copy na unapata hela shida iko wapi