WCB ni jeshi la mtu mmoja na alikiba ni muungano wa timu zipatazo 5

Hivyo ndivyo akili yako inavyokwambia au unalazimisha kujiaminisha hizo hoja zako??

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sababu umepanic hujielewi ngoja nikufahamishe ...

Mashabiki wa Alikiba ndo hao hao wa Wema , Jokate, Hamisa na Mange .Pia mashabiki wa Diamond ndo hao hao wa rayvanny ,richmavoko,Queen d, lavalava, harmonize na Bashite....Kwahiyo bado team zipo 2 zilezile ila zinamatawi tu kulingana na upepo unapovumia
 
I

Ina maana baada ya kiba kutoa nyimbo ndio wcb wakaingia studio wakarekod then wakashoot video wakaitoa kwa cku hyo hyo
Hili swali la msingi sana

ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…