Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetishaaaaa my Dada..Yo too smart dadaa....... [emoji444] [emoji445] [emoji443]
Wanamwita HEARTBREAKER yaani PASUA KICHWANa bado mtatafutana sana, yaani ngoma moja tu mnatapatapa kila kona, moja haikai wala mbili haisimami!!!
Yoooooh!!
[emoji7] [emoji7] [emoji7]Nafurahi kusikia hivyo cutie...
Mie wa afya mamy
Mungu akutunze[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Hivyo ndivyo akili yako inavyokwambia au unalazimisha kujiaminisha hizo hoja zako??Kwanza diamond hana mashabiki bali ana wanachama.kupitia kwa diamond ndio maana kina lavalava,rayyvan,harmonize wana mashabiki lukuki na ndio maana endapo utataja top20 ya wasanii bora huwez kuacha kuwataja na wasanii wa wcb hvyo diamond ni jeshi la mtu mmoja lililoweza kuwapa nguvu anao washika mikono
Kiba anapata sapoti kutoka kwa mashabiki wake,mashabiki wa wema wa joketi wa mange na mashabik wa dimpoz na sasa wameongezeka mashabiki wa hamisa
Pamoja na kiba kusapotiwa na kundi kubwa la watu kwenye mitandao ila diamond anapambana peke ake yaan n jeshi la mtu mmoja na ana wapeleka puta maadui zake
HAKIKA DIAMOND SIO WA MCHEZO MCHEZO
Kwakweli Kiba pasua kichwa, kawapasua kwelikweli.Wanamwita HEARTBREAKER yaani PASUA KICHWA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ameen my SisMungu akutunze
Naku PENDA sanaMungu akutunze
Kwanza diamond hana mashabiki bali ana wanachama.kupitia kwa diamond ndio maana kina lavalava,rayyvan,harmonize wana mashabiki lukuki na ndio maana endapo utataja top20 ya wasanii bora huwez kuacha kuwataja na wasanii wa wcb hvyo diamond ni jeshi la mtu mmoja lililoweza kuwapa nguvu anao washika mikono
Kiba anapata sapoti kutoka kwa mashabiki wake,mashabiki wa wema wa joketi wa mange na mashabik wa dimpoz na sasa wameongezeka mashabiki wa hamisa
Pamoja na kiba kusapotiwa na kundi kubwa la watu kwenye mitandao ila diamond anapambana peke ake yaan n jeshi la mtu mmoja na ana wapeleka puta maadui zake
HAKIKA DIAMOND SIO WA MCHEZO MCHEZO
Hahaha haha wataachia ngoma mpya tena Leo.Kwakweli Kiba pasua kichwa, kawapasua kwelikweli.
Nakupenda pia mdogo wangu jamaniiNaku PENDA sana
Yaani kama naona ngoma zingine 5 zikiachiwa kabla ya jumatatu. [emoji23] [emoji23]Hahaha haha wataachia ngoma mpya tena Leo.
Ww wacheke tuu
Hili swali la msingi sanaI
Ina maana baada ya kiba kutoa nyimbo ndio wcb wakaingia studio wakarekod then wakashoot video wakaitoa kwa cku hyo hyo
Hilo haliwezekani siku 365, ni masaa 8760Wimbo anatoa mda wowote wanaotaka wao,wanauwezo wa kutoa wimbo kwa kila saa kwa muda wa siku 365 na nyengine zikabaki stoo
Hahaha hahaha mbavu zangu mieeeeYaani kama naona ngoma zingine 5 zikiachiwa kabla ya jumatatu. [emoji23] [emoji23]
Asante sana yaani saaanaNakupenda pia mdogo wangu jamanii