Karibu mdogo wanguAsante sana yaani saaana
Tumeletewa kwaya, next sijui itakuwa taarabu au singeli[emoji134] [emoji134] [emoji134]Hahaha hahaha mbavu zangu mieeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yani Ngoma moja kali ya "Seduce Me" ...imekurupua na kufanya Panic ya ajabu kwa Mondi na Team yake....Yani WCB ni kama wamechanganyikiwa...
Daah
Ye mwenyewe anajishusha na taarabu zake za mipashoMaadui wa diamond wanafikiria ni namna gani watamshusha diamond ila mwenzao ndo anazidi kutusuaa yeye na vijana wake
Wcb mnajitekena na kucheka wenyewKwanza diamond hana mashabiki bali ana wanachama.kupitia kwa diamond ndio maana kina lavalava,rayyvan,harmonize wana mashabiki lukuki na ndio maana endapo utataja top20 ya wasanii bora huwez kuacha kuwataja na wasanii wa wcb hvyo diamond ni jeshi la mtu mmoja lililoweza kuwapa nguvu anao washika mikono
Kiba anapata sapoti kutoka kwa mashabiki wake,mashabiki wa wema wa joketi wa mange na mashabik wa dimpoz na sasa wameongezeka mashabiki wa hamisa
Pamoja na kiba kusapotiwa na kundi kubwa la watu kwenye mitandao ila diamond anapambana peke ake yaan n jeshi la mtu mmoja na ana wapeleka puta maadui zake
HAKIKA DIAMOND SIO WA MCHEZO MCHEZO
Ndio ukweli huo mkuu jamaa amepata msaada wa mashabiki kutoka kwa wanao mchukia mond ila mond yuko peke ake anapambana nao vizuri tu
we umekunywa nini leo??ulichokiandika kisome tenaKwanza diamond hana mashabiki bali ana wanachama.kupitia kwa diamond ndio maana kina lavalava,rayyvan,harmonize wana mashabiki lukuki na ndio maana endapo utataja top20 ya wasanii bora huwez kuacha kuwataja na wasanii wa wcb hvyo diamond ni jeshi la mtu mmoja lililoweza kuwapa nguvu anao washika mikono
Kiba anapata sapoti kutoka kwa mashabiki wake,mashabiki wa wema wa joketi wa mange na mashabik wa dimpoz na sasa wameongezeka mashabiki wa hamisa
Pamoja na kiba kusapotiwa na kundi kubwa la watu kwenye mitandao ila diamond anapambana peke ake yaan n jeshi la mtu mmoja na ana wapeleka puta maadui zake
HAKIKA DIAMOND SIO WA MCHEZO MCHEZO
Nyimbo zimejaa hvyo hakuna jinsi ni lazma zipunguzwe siyo kama yule anayejiita king wimbo mmoja anautunga mwaka mzimavyovyote iwavyo kawafanya wapingane na ratiba yao hahahaaaa wamepanic wametoa kabla kisa king hahahaaaaa yy na watoto wake
vyovyote iwavyo kawafanya wapingane na ratiba yao hahahaaaa wamepanic wametoa kabla kisa king hahahaaaaa yy na watoto wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaah naona mme panick...mlikuja kwa mbwembwe sahivi mnatafuta visingizio...sasa kati ya seduce me na zilipendwa ipi ni ya jeshi la mtu mmojaKwanza diamond hana mashabiki bali ana wanachama.kupitia kwa diamond ndio maana kina lavalava,rayyvan,harmonize wana mashabiki lukuki na ndio maana endapo utataja top20 ya wasanii bora huwez kuacha kuwataja na wasanii wa wcb hvyo diamond ni jeshi la mtu mmoja lililoweza kuwapa nguvu anao washika mikono