WCB ni jeshi la mtu mmoja na alikiba ni muungano wa timu zipatazo 5

Wimbo anatoa mda wowote wanaotaka wao,wanauwezo wa kutoa wimbo kwa kila saa kwa muda wa siku 365 na nyengine zikabaki stoo
Wanaweza ndio, kwa sababu nyimbo ni za kucopy

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Na bado mtatafutana sana, yaani ngoma moja tu mnatapatapa kila kona, moja haikai wala mbili haisimami!!!
Yoooooh!!
Wanaotapatapa ni waleee walioungana dhidi ya mtu mmoja
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jimbo lote la domo linataja majina ya watu utafikiri tuko rokoo ya shule halafu limwimbo lilerufuuu kama treni ya kati
Ulikua unataka ajisifie na yeye
 
Wanafikiria ni jinsi gani watamshusha dai kuliko hata wanavyomfikiria mungu lakini ndo hvyo tena aliyepewa kapewa
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] I can see u coffee table!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa taarifa yako kiba ndio ana mashabiki wake lakini wema ana mashabik wake ambao baada ya kuachwa na dai wakaona hasira zao ni kuwa kumshabikia yoyote anayeshindana na dai na hapo wakajiunga na timu kiba,mange nae hampendi dai hvyo watu wanao mkubali mange wanamsapoti kiba vivo hvyo kwa kina joket sijui hamisa mara dimpoz

Rayvann,harmo,lavalava,mavoko bila ya dai ni mtihani maana mavoko bila wcb tungekua tumeshamsahau hivyo dai ndo amesababisha hawa wakawa na nguvu na siyo hao kina harmo ndo wamemfanya dai awe na nguvu
 
Ivi ni yupi anawapenda washabiki wake? Kati ya kiba na mondi?
Instagram ya kiba hajawai kum follow mtu ata moja! Ana dharau mpk Meneja wake! Mpz wake na jaa zake wote!
Mondi !! amewa follow zaidi watu! 600 ! Nani zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] I can see u coffee table!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hawajaona boc wawo(Diamond) kampost wema wote kimya. Alafu cjawahi kumuona seven mosha kutuma ujinga kama wa sallam sk. Nja mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Peleka upupu wenu hukoo malkia wenu kaanzisha varangati kumbe anasubiri king atoe wimbo naye atoe wa kwao kisa et ushindanishwe huyo hajiamini

Sent using Jamii Forums mobile app
Angekua hajiamini asingetoa wimbo ila kwa vile ana jiamini ndio maana anaweza kufanya lolote kwa wakati wowote hata kama amezungukwa na maadui
 
Unafaidika vipi kama kijana kupitia haya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…