WCB waachia Dude linaloitwa Quarantine

Nimewauliza wenzako hapo juu na wewe nakuuliza unipe jibu,

Huu ushabiki wenu unawanyima uhuru wa kutoa honest opinion kwasababu tu unamkubali msanii wa upande mwingine??
Hongera Mkuu...
 
Hii nyimbo ya Wasafi mnaonaje iko creative au bado hairidhishi

Baba Ako
 
Nyimbo ya diamond imeshindwa kufikisha views milion1 ndani ya Massa 24/siku1,ambapo nyimbo ya dodo alikiba ilifikisha views milion1 ndani ya Massa 24 tu!!
 
Diamond kashapiga hizo achievement sana mmebaki nyie kumshindanisha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kwahyo na hii ni nyimbo ya kushindanisha kabsaa. Aisee umekosa kaz za kufanya
 
Badala ukashindanishe JEJE na hayo MAEMBE yako unakuja kushindana na haka kanyimbo ka masihara[emoji23] JEJE ina 2 months; 17M views, means per month (approximately) ilikua inapata 8.5M views... Sasa hayo maembe yana mwezi mmoja 5M views na bado yanasuasua unaenda mwezi wa pili huu. [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…