WCB waachia Dude linaloitwa Quarantine

WCB waachia Dude linaloitwa Quarantine

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,058


Hawa watu wajanja sana, wameachia wimbo wao mpya ambao nina uhakika utatrend sana kwenye mitandao hasa huu mpya Tiktok unaoongoza kwa kuwa downloaded hivi sasa.

Wasanii wengine chukue somo hapo, maana mtalalamika mnarogwa/logwa kumbe mchawi wenu ni nyie wenyewe
 
Walikuwa wanasubir zuchu ashike namba moja trending YouTube ndo waachie , mana nimeona reply ya lukamba Kwa diamond kuwa waachie dude baada ya zuchu kukaba YouTube , mda si mda kikaita , believe me baada ya sku tau au nne Rayvanny ataachia chuma , nouma Sana
 
Back
Top Bottom