Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rekebisha Heading mkuu..Diamond amesema kwamba analipa kodi mill 35,hajasema kwamba kwenye billion 2,TRA wamechukua million 35Msanii diamond platnumz na lebal yake ya WCB wamelipwa dola milioni 1 sawa na Tsh.bilioni 2 na campany ya Universal Music Group ili kusambaza nyimbo zao kote duniani kote.
Diamond asema ndo msanii pekee Tanzania na label yake wamelipa kodi milioni 35 TRA.
Amesema kulipa kodi ni jambo na wajibu wa kila mtanzania.
View attachment 438369
MnatuchokozaWapi kibwabwa na yule jamaa wa kupumuliwa
mil 35 kwenye mil 2000 hahahaha utakuwa mwenda wazima wewme nisingekubali mil 35! kwa hali hii! kha! naanzajeanzaje lbd😀
TRA wanaroho mbaya mkuu[emoji38],yaani Guitar tu hela yote hiyo?!
hujakosea kbsmil 35 kwenye mil 2000 hahahaha utakuwa mwenda wazima wew
mil 35 kwenye mil 2000 hahahaha utakuwa mwenda wazima wew
hongera wew ndo unajua baba mwenye nchi kasema msanii lazma alipe kod sasa unachojua siju nin wewHata hivyo kodi inategemea mkataba umesainiwa wapi, nikupe mfano tu kama walisaini Las Vegas serikali ya Bongo haina chake. Kwa hiyo usijifanye smart kwa vitu usivyovijua.
iki invest ndo jinsi unavyopata mkuu usiogope kuwekezza kama kitu kinalipa mzeehujakosea kbs
msiwe mnakurupa tu kujibu maswali mleta mada kaonganisha habari mbili tofauti
1 ni hiyo habari ya partnership kati ya wcb na universe
2 diamond amesema yy ndo msaa anaelipa kodi kubwa tra zaid ya 35mil
kwahyo hizo habari mbili tofauti
over
dah jamaa anatuchukulia sisi mambulula sana, siku hizi kila kitu kiko wazi mitandaoni, nimejalibu kumtafuta huyu ndugu yetu kwenye list wa wasanii ambao nyimbo zao zinasambazwa na UMG, JINA LAKE SIJALIONA
Ahaha hawachelewagi mashabiki maandazi.Wataomba screenshot ya receipt, we subiri tu.
Nadhani kuna umuhimu wa kisikiliza tena interview ya Diamond ili umuelewe vizuri Kuhusu hiyo kodi. Mtoa mada ameandika kiushabiki sana na ndio maana wengi wasiosikiliza interview wanachanganya Kuhusu hiyo mil 35 na mkataba alioingia.18% * 2,200,000,000 = 396,000,000 tsh. Jamaa kasema kalipa 35,000,000 ambayo ni sawa na
35,000,000/2,200,000,000 * 100 = 1.59%
Sasa mbona ushuru kalipa asilimia 1.59 tu ? Au ushuru ni asilimia ngapi kwani?
Msinirushie mawe hata sijabisha, nataka kufahamu tu
Tuwaponge kwa kweli kazi nzuri na tunawatakia jitihada zaidi....Safi sana, Tanzania mpya [emoji3]