Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Badala ya majibu subiria kuitwa hater.18% * 2,200,000,000 = 396,000,000 tsh. Jamaa kasema kalipa 35,000,000 ambayo ni sawa na
35,000,000/2,200,000,000 * 100 = 1.59%
Sasa mbona ushuru kalipa asilimia 1.59 tu ? Au ushuru ni asilimia ngapi kwani?
Msinirushie mawe hata sijabisha, nataka kufahamu tu
Kodi ya aina gani inalipwa kwa mwezi?Kasema kwa mwezi analipa kodi zaidi ya 35 millions Na sio kua kwenye mkataba wake Na universal lab TRA wamepata milioni 35.
Una million 1965 mfukon bro..me nisingekubali mil 35! kwa hali hii! kha! naanzajeanzaje lbd😀
Duuuuu..guitar???Swala la kodi halikwepeki, siku ukiingia kwenye reli ya TRA huna ujanja lazima ulipe. Kuna siku niliingiza guitar jipya kutoka Sweden nikapigiwa mahesabu nikaambiwa nililipie laki nne mi mwenyewe nilichoka.
Usipotoshe hapa diamond na WCB hawajasainiwa na Universal Music bali wameingia partnership tu, tena ni ya kusambaza music wao world wide.Yale yale
Mwenzao alisign na sony wakamdhihaki leo wao wameangukia kule kule
Khaaaaaa!!!! 2much sasaHuo mkataba wamenunua hawa wasanii janja janja tabu sana...
Badala ya majibu subiria kuitwa hater.
Hapa tuu ndipo napozichukia hizi timu maandazi.
Dah aisee. Watu mna maneno hatari.wema kipapa chake saa hz kinashituka kusikia hzo hela